lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Kwa umri wake huo, yuko yuko poa kabisaHuyu Broja kiwango chake ndio hiki? Au mechi ya leo imemkataa? Kama ni hivyo basi anasafari ndefu sana ya kuwa striker wa timu kubwa
Kwa umri wake huo, yuko yuko poa kabisaHuyu Broja kiwango chake ndio hiki? Au mechi ya leo imemkataa? Kama ni hivyo basi anasafari ndefu sana ya kuwa striker wa timu kubwa
Ndio maana kocha kama PEP hatakaa akubali kuifundisha ChelseaTofautisha kati ya HEAD COACH vs MANAGER.
Nyumbu, City, Aser8, Liverkuku kocha wao ni Manager anayo madaraka makubwa ya kuamua kumsajili mchezaji gani au kumuuza mchezaji gani, management inamsikiliza na kutenda.
The BLUES kocha wetu sio manager ni Head COACH, mambo ya usajili na kuuza yanaamuliwa na Managers huko juu.
Unaomba uletewe Lukaku unaletewa Morata, unamtaka Halland unaletewa Lukaku.
Management inasaka Kocha mpya huku wakina Pulisic, Ziyech wanasajiliwa.
Nadhani pia falsafa yetu ya kufukuza makocha mara kwa mara labda management wanaona kocha akiwa manager tutakuwa na wachezaji kachumbari.
Bora hilo jukumu la usajili management walisimamie wajenga timu wanaoitaka wao kwa falsafa ya club, kocha abaki na kazi ya kuwaongoza wachezaji uwanjani.
Oky sio shida Basi tupate Mkurugenzi mwenye jicho la usajili kama Emanelo.
Labda aongezwe misimu miwili mbele akiwa kwa mkopoKwa umri wake huo, yuko yuko poa kabisa
Mzee ungeanza kuiombea mema timu yako nyumbu KwanzaLeo na jambo langu kwenye madhabau yangu na jambo zito sana lakuongea na miungu yangu kuhusu game ya chelsea ya leo.
mizimu yangu ya ukoo itakuwa ni jambo jema na la busara sana hii timu ikifungwa leo maana wana mdomo sana hawa fanya jambo miungu yetu hawa takataka ili kombe walisikie tu naomba baada ya kufungwa usiwavunje moyo tu ikiwezekana uwavunje hata shingo aminu.

Huyo ni mwanga, ndie mwenye ujasiri wa kushededea kwa jirani wakati kwake kunateketeaMzee ungeanza kuiombea mema timu yako nyumbu Kwanza![]()
Azam wataonyeshaChannel gan wataonesha
Mkuuu ALLY unamatatzoNasimama na wa brazil palmeiras.
Odoi asirudi ndani....TT leo kachemka
Kumuweka mount badal ya Ziyech
Kumuweka Odoi kwenye wingback badala ya Alonso
Leo mpiga kona ni Odoi so sad
Kama Ziyech hana majeruhi sioni kwa nini Ziyech awe nje
Hatuna mpiga kona
Hatuna mpiga free kicks
Hatuna mpiga krosi
Kama vile tunashiriki mashindano ya Ulimbwende
Plus mediocre game approach. Sioni kama TT atamaliza msimu ujao, mabeki ndio wanakaa na mpira kuliko viungoTuna timu ya kawaida sana.