Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie matakataka mnataka mfanye nini tena mnataka kutia aibu mapema hivi.
Kwani mkuu timu yetu inakuhusu nini.

Mbona ninyi mfungwa na yale madogo hatuongei au unafikiri hatujui Man u kafungwa na timu inayocheza daraja la tano
 
Hivi karibuni Ziyech amekuwa kwenye form ya hali ya juu yule Ziyech wa Ajax naanza kumuona
 
1644146035662.png
 
Tammy Abraham anataka kurudi darajani
Hadi sasa Abraham amefunga goli 16 kwenye ligi na UEFA Conference na ana assists zaidi ya 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom