Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Worst Combined EPL Start XI Team 2021/22 So Far

Formation 4-2-3-1

Timo Werner (Chelsea)


Josh Sargent (Norwich) -----------------Ryan Fraser (Newcastle) ----- Tyler Roberts (Leeds)

Shandon Baptise (Brentford) –Adam Forshaw (Leeds)

Perraud (Southampton) -- William (Watford) --Clark (Newcastle)--Roerslev (Brentford)



Tim Krul (Norwich)
Ungekua Sirius ungemtoa Timo umueke rukaku
 
Sule tumekosa
20220207_181714.jpg
 
Nimesoma sehemu kuhusu historia ya Declan Rice na Chelsea akijibainisha kuwa ni shabiki mkereketwa wa Chelsea tangu utotoni na John Tery ndie Idol wake nikawaza kwa nini Chelsea wasiharakishe kumrudisha. Hawa ndio mara nyingi wanakuwa wazalendo wa kuifia timu kama akina Terry, Lampard na wengineo walivyofanya
 
Kama Lukaku akiendelea kuwa static kama alivyofanya kwenye mechi ya juzi ya FA basi huyo ni bora aachwe kupangwa kabisa. Mechi na Aston Villa alikuwa mobile na alicheza vizuri sana. Nafikiri Lukaku bado anahitaji kukumbushwa na kusukumwa na kocha namna anavyotakiwa kucheza otherwise tusitegemee matokeo yeyote kutoka kwa Lukaku kwa attitude kama ile aliyoonyesha dhidi ya Plymouth
 
Siku zote li timu linalochukua CL kwa kubahatisha haliwezi chukua CWC.....

Madrid alichukua ..

Liverpool alichukua ...

Buyern alichukua ....

ila nyie mbumbumbu hamuwezi chukua .....

2012 mlibahatusha kwa buyern Munich kuchukua CL lakin club world cup mliangukia msumari mkali


Timu la kifala Sana ....
 
Siku zote li timu linalochukua CL kwa kubahatisha haliwezi chukua CWC.....

Madrid alichukua ..

Liverpool alichukua ...

Buyern alichukua ....

ila nyie mbumbumbu hamuwezi chukua .....

2012 mlibahatusha kwa buyern Munich kuchukua CL lakin club world cup mliangukia msumari mkali


Timu la kifala Sana ....
🌄😂😂 Kwani tofaut ya man city na ndanda n Nini wote hamjawahi shiriki club worldcup
 
Kwani tofaut ya man city na ndanda n Nini wote hamjawahi shiriki club worldcup
Kumbe kushiriki tu ,nyie mbumbumbu mnaenda kuaibika ,timu zote zinazochukuaga CL huwa zinachukua CWC lakin nyie kunguni daaa uwezo mdogo ,CL mmechukua kwa kubahatisha huko mnaenda kuchapwa na vitimu vya kawaida ....
 
Nyie takataka mpo mje muone wanaume nini tunafanya wale watoto leo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom