Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1642572038182.png
 
Bado big picture ndio hiyo, injuries au Covid-19 haijaadhiri wala haiadhiri Chelsea tu, ni janga la wote. Tuache kusingizia
Janga la wote kivipi,


Man city

De Bruyne tu ndio alipata Covid mwisho wa mwezi November.

Kuelekea Christmas Rodri na Walker wakaumwa Corona,

Baada ya mwaka mpya Zincheko na Foden.
Haya hapo unasemaje? Arsenal ndio sitaki kuiongelea kabisa
 
Mngeshinda mngewafuata United na kuwaambia 'Hivyo ndivyo 4 2 2 2 inavyochezwa' muda kidogo niliwahi andika hapa kwamba Thom akibadilisha formation stori ya point 3 inaishia hapo.

Akapona huo ugonjwa kwa mechi kama mbili ila naona yanajirudia.
 
The BLUES mmekuaje tena ndugu zangu?
Mmewaachia Liverpool wakimbie nalo kombe mwaka huu bila kuwa na upinzani wowote ule.
Nampiga Pep kisha Pep atapoteza kibao games
Bingwa ni Liverpool,wa pili Man City,watatu Spurs na wa nne ni Arsenal
 
Chelsea have won just three of their last 11 games in the Premier League.

vs Man Utd
vs Watford
vs West Ham
vs Leeds
vs Everton
vs Wolves
vs Aston Villa
vs Brighton
vs Liverpool
vs Man City
vs Brighton

Unbelievable.
Game ya Leeds ilibakia chupuchupu and Watford pia
 
Janga la wote kivipi,


Man city

De Bruyne tu ndio alipata Covid mwisho wa mwezi November.

Kuelekea Christmas Rodri na Walker wakaumwa Corona,

Baada ya mwaka mpya Zincheko na Foden.
Haya hapo unasemaje? Arsenal ndio sitaki kuiongelea kabisa
Inawezekana sisi tuliadhirika zaidi, lakini ndugu BIG picture ina amana hata sasa matokeo hayaendani na hilo unalosema. Hii sasa sio majeruhi wala sio COVID-19. Na hii behaviour ya wachezaji kutojituma kama mwanzo wa ligi ilianza game na Burnley. Hata game tulizoshinda baada ya Burnley ni kwa bahati tu. Burnley tulicheza nao November 6 leo inakaribia miezi mitatu. Siku zote hizo sisi tulikuwa na majeruhi tu au COVID19 tu. Ushabiki usitupumbaze tukaacha kuuona ukweli

Tulimsifia sana TT kwa kulitatua swala la Lukaku vizuri lakini mimi nasema inavyoonekana BADO na tatizo la la Lukaku sio lake peke yake

Timu imeanza kuboronga mwanzoni mwa November na mwanzoni mwa December Lukaku akenda kwenye vyombo vya habari kuchafua hali ya hewa.
Hapo hapo Lukaku akiwa majeruhi timu ilicheza vizuri kidogo, amerudi hali ni mbaya, mabeki tu ndio wanajitahidi kucheza ila wanalemewa kwa sababu mbele hakuna mawasiliano na Lukaku, No linkage, ni kama wanamgomea Lukaku
Kama Lukaku ndie Yona anayezamisha meli si atoswe baharini ili meli yetu ipone??
 
The BLUES mmekuaje tena ndugu zangu?
Mmewaachia Liverpool wakimbie nalo kombe mwaka huu bila kuwa na upinzani wowote ule.
Nampiga Pep kisha Pep atapoteza kibao games
Bingwa ni Liverpool,wa pili Man City,watatu Spurs na wa nne ni Arsenal
Cheki takataka nyingine hii.
 
Kwa ufupi tu Chelsea no timu mbovu kwa misimu 4 hiii ndio imefunga mkia hovyo kabisa
Tuliwambia Chelsea uefa alibahatisha TU,kama mnakumbuka hata top 4 ilikuwa bahati TU maana kama Lececiter city angeshinda game dhidi ya Leeds, Chelsea inge maliza Ligi ikiwa nafasi ya 5.

Mngeshiriki uefa Kwa kuchukua Uefa hiyo ya bahati bahati,na siyo Kwa nafasi kwenye msimamo wa Ligi kama Lececiter city angeshinda msimu uliopita mechii ya mwisho.

Mlikuwa na bahati saana msimu ulio pita.Lakini uwezo wenu ni mdogoo.

Mnachojua ni kudefense TU.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom