Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumbuka liverpool waliomba game zao kuwa postponed na wakakubaliwa but chelsea kuna game tuliomba ihairishwe tukakatalia
Kumbuka game ya wolves tulicheza huku sub tukiwa na wacheza wanne kama sijakosea huku kati yao wakiwa makipa wawili,
acha uongo mkuu. hakuna timu itaruhusiwa kuingia uwanjani ikiwa na sub wanne huku wawili wakiwa ni makipa
 
Kumbuka liverpool waliomba game zao kuwa postponed na wakakubaliwa but chelsea kuna game tuliomba ihairishwe tukakatalia
Kumbuka game ya wolves tulicheza huku sub tukiwa na wacheza wanne kama sijakosea huku kati yao wakiwa makipa wawili,
Eti sub wanna, EPL gani hiyo unayozungumzia hapa? Kana kwamba haitoshi umeamua kuongeza na munu kabisa, kwamba Kati ya hizo sub nne makipa walikuwa ni wawili😂
 
Sioni wanachofanya Chelsea, mf imekufa kabisa, forward butu butu
 
Eti sub wanna, EPL gani hiyo unayozungumzia hapa? Kana kwamba haitoshi umeamua kuongeza na munu kabisa, kwamba Kati ya hizo sub nne makipa walikuwa ni wawili
Mechi tuliyokuwa pungufu ilikuwa dhidi ya Wolves, tulikuwa na sub 6 badala ya 9. Game hiyo ilichezwa Dec 9
 
Kwa ufupi tu Chelsea no timu mbovu kwa misimu 4 hiii ndio imefunga mkia hovyo kabisa
 
Ukweli ni tuna hali mbaya, tangu tufungwe na West Ham hatujawahi kulinda goli
 
Kuna tatizo kule dressing room. Na haitascha kumuhusisha Lukaku
Huu uchezaji wa kimandazi lazima kuna shida. Mech 6 only one win
 
Huoni kwamba huna macho au? Kwahiyo ulitarajia makubwa msimu huu?

Mkuu walitarajia makubwa wakati wanaongoza ligi kwa point 5.

Tuliwaambia hawakusikia waliona hatuwapendi.kiukweli hawana wachezaji wakuwapa ubingwa pale.
 
Mkuu walitarajia makubwa wakati wanaongoza ligi kwa point 5.

Tuliwaambia hawakusikia waliona hatuwapendi.kiukweli hawana wachezaji wakuwapa ubingwa pale.
Na kibaya zaidi tulikua tunajisifu huku wafungaji wetu wakiwa ni mabeki yaan beki zinagoal nying kuliko washambuliaji
 
Ukweli ni tuna hali mbaya, tangu tufungwe na West Ham hatujawahi kulinda goli
Shida ilianza kwenye mechi ya 11 na Burnley baadaye mechi ya ya 13 na Manure na kuanzia hapo tushinde au droo ni kwa bahati tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom