Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Points gained from last 12 matches between Arsenal, Chelsea and Spurs
  • Arsenal 27pts
  • Chelsea 18pts
  • Tottenham HotSpurs 24pts
Ndio maana wachina walisema no data no talk
Mpira ni sayansi na sayansi ni takwimu wewe unatulazimisha tubaki na imani kwa vitu vilivyo wazi kabisa
Katika mechi 38 na zilziobaki 16, sample ya mechi 12 inakubalika kabisa kidunia kuweza kugenerate prediction sahihi

Msimamo wa EPL May baada ya mechi za mwisho ni
  1. Mancity
  2. Liverpool
  3. Arsenal
  4. Spurs
  5. Chelsea
Miujiza na au majeruhi wote wapone na tusipate tena majeruhi ndio itakayotuokoa tusiwe nje ya top 4
Wewe jamaa ni takataka mamluki hufai kuwa shabiki ndaki ndaki wa Chelsea ..wewe nenda na livakuku yako uko Alaaa
 
Wewe jamaa ni takataka mamluki hufai kuwa shabiki ndaki ndaki wa Chelsea ..wewe mend na livakuku yako ukoAlaaa
Vipi umerudi kijijini, tuliza jasba. Mahesabu huwa haifanyiwi jasba

Mimi nimekokotoa na wewe kokotoa

No data No talk

Uje uniite mamluki mwisho wa msimu sio sasa
 
Tutakufukuza kwenyee hili jukwaaa letu ..hutufai wewe ni mamluki
Acha kujipa mahope hewa, utaugua bure na ikiwa hivyo hata pole sitakupa maana nilikuonya. Msimamo wa ligi huo hapo baada ya mechi za mwisho

Haina maana haya matokeo yatakaa hivi hivi, behaviours zikibadilika, mfano, form za wacvhezaji kuongezeka na kubadili mwenendo wa matokeo inaweza kuvuruga hii prediction table
SasaBaadaeJumla
1. Man city
56​
48​
104​
2. Liverpool
45​
34​
79​
3. Arsenal
35​
40​
75​
4. Spurs
33​
40​
73​
5. Chelsea
43​
24​
67​
6. Westham
37​
26​
63​
7. Manure
32​
27​
59​
8. Wolves
31​
18​
49​
 
Wa kunielewa wamenielewa. Kova anadrive team ina ana poor end product.
Kova sio wa kumuuza, uza Jorginho leta mshindani wa Kova ilia Kova apate rotation kwa sababu poor results yake mara nyingi anachoka, siku akiwa na nguvu anaibeba sana timu ni kule mbele wanaharibu

Leta huyuy hapa

Chelsea lead Tchouameni race

Tchouameni ana miaka 21 tu na anazo quality zote za Kante Plus Fabregas combined labda aje kubadilika
 
At least wewe umekuja na option nyingine.
 
Inabidi huyu Jamaa aombe radhi au afutwe mwenye hili jukwaa la mashabiki wa Chelsea yaani nimemdharau Sana yaani kova auzwe? Yupo serious kweli
Mbona sasa hivi mnakimbilia tu mtu afutwe kwenye jukwaa, msituletee Ukorea kores hapa Kim Jong-un haa. Kama mtu ana mawazo mbadala mawazo yaheshimiwe hata kama wote hamuungi mkono. Wewe mwenye maoni tofauti si uweke mawazo yako mezani
 
Fixture z mwezi wa 12 zisitufanye tupoteze Imani kiasi hicho ...huo mwezi tulikumbwa na covid plus majeraha kutokana na wingi WA fixtures....m naiman tutakaa poa tu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Lakini Covid haikwenda likizo.

Pia kumbuka Arsenal na man city ndio timu ambazo ni kama Covid haikuwaathiri kabisa.
 
Lakini Covid haikwenda likizo.

Pia kumbuka Arsenal na man city ndio timu ambazo ni kama Covid haikuwaathiri kabisa.
Mancity karibia benchi lote la ufundi waligua COVID-19 na Liverpool wao wakaamua kufunga uwanja wa mazoezi kwa muda. Mtu akijitetea COVID au injury as if ni Chelsea tu imekumbwa na tatizo hilo. We are all in the same boat, kama ni ugonjwa ni wote kama ni majeruhi ni wote

Chelsea ni yetu sote hakuna shabiki mwenye hatimiliki na timu, tunachofanya hapoa ni kuepuka mahope ya kijinga isituletee magonjwa
 
Kumbuka liverpool waliomba game zao kuwa postponed na wakakubaliwa but chelsea kuna game tuliomba ihairishwe tukakatalia
Kumbuka game ya wolves tulicheza huku sub tukiwa na wacheza wanne kama sijakosea huku kati yao wakiwa makipa wawili,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom