The Blues tunacheza vizuri sana kuanzia nyuma mpaka katikati, tunakaba vizuri tunajilinda vizuri.
Kimbembe kuanzia katikati kwenda mbele hadi kwenye umalizaji. Kwanza Back pass milioni 1 per mechi
Kwenye umalizaji ndio majanga kabisa hakuna ubunifu, hakuna mashuti, hakuna ukatili mbele ya goli, hakuna hatare, kiufupi ushambuliaji wetu ni wa kupapasa na kubahatisha kufunga goli.
Shida ya tim yetu tunasajil wachezaj ambao hawaendan na falsafa za kocha aliyepo.
Wakat PEP anakuja aliuza almost wachezaj wote waliokuwepo huku wakibaki wachache,akaanza kusajili wachezaj wanaoendana na style yake ya uchezaj
Msim huu wakat wa dirisha kubwa la mwez wa 7.alimtaka KANE, baada ya kushindwa kumsajil akaachana na huo usajil akaendelea kutumia wachezaj wale wale waliokuwepo
Msim huu tulihitaj kumpa Tuchel wachezaj anaowahitaj na sikumletea wachezaj ambao hawaendan na style yake,
Lukaku haendan na style ya uchezaj wa tuchel,
Angalia mechi amabazo tumecheza bila lukaku. Tumeweza kucreate chance nyingi kutokana na jins tunavyocheza maana tunaanzia kupress kuanzia juu,
Game tunazocheza tukiwa na lukaku, hata hizo chance zenyewe kucreate zinakuwa shida kwa sababu ya uchezaj wa lukaku,
Board yetu ndio inatufelisha inashindwa kumpa kocha kipi anachotaka
Mara ya mwisho kufanya vizuri ilikuwa ni wakat walivyomleta Costa na fab tena kwa matakwa ya jose,
Msim wa 2 wa conte, tukamletea wachezaj ambao hata hawahitaji,
Baada ya tuchel kuchukua uefa, marina alifaa aampe tuchel wachdzaj anaowataka na sikumletea wachezaj ambao hawaendan na style yake uchezaj,.
Baada ya injury ya chilwel ilipaswa tuwe tunajua nani watamsajil ili azibe pengo lake, kuwa na wachezaj wawil position moja sio kosa tena inaongeza quality ya kikosi na si quantity tu, city anakikos kipana na quality , tunaogopa kusajil mchezaj subir kisa tu washajiaminisha chilwel ndio first choice wanachofanya sasa ni kusajil back up tu,
Leo hii eti tunahangaika kwa kurzawa, mara emerson mara kenedy yan inasikitisha,