Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The Blues tunacheza vizuri sana kuanzia nyuma mpaka katikati, tunakaba vizuri tunajilinda vizuri.

Kimbembe kuanzia katikati kwenda mbele hadi kwenye umalizaji. Kwanza Back pass milioni 1 per mechi

Kwenye umalizaji ndio majanga kabisa hakuna ubunifu, hakuna mashuti, hakuna ukatili mbele ya goli, hakuna hatare, kiufupi ushambuliaji wetu ni wa kupapasa na kubahatisha kufunga goli.
Sawa ila hata katikati watoaji wa zile pasi za hatari kama za Fabregas hayupo. Kovacic anajitahidi ila hajafikia viwango, Kante yeye ana role nyingine tofauti.

Tuuze Jorginho tumnunue kiungo (CAM) atakeye wachezesha akina Lukaku mpaka ulimi umtoke. Tuwanunue pia winga au viungo wa pembeni watakao toa asists za kutosha na kufunga magoli two digits Assists na Magoli kila msimu. Hapo tutakuwa Title contender wa kweli na OG sio hii Chelsea feki, mechi 7 za mwanzo tumeongoza ligi tukasahau ubovu wa akina Ziyech, Pulisic, Mount, Jorgninho, Odoi na waoka mikate wale
 
Kwa Chelsea hii tulionayo hata Haaland akija atakuwa kama Lukaku, hatafunga magoli kama kule BVB

Tuunde timu kama ya City, kila idara ijisimamie yenyewe

Kocha mzuri tunaye
Wachezaji wazuri tunao, tunahitaji kuziba viraka tu
Pesa ya kununua ipo
Bodi ionakwama wapi?
 
Kwa kweli pale mbele ni use

Yaani Arsenal iwe juu ya chelseafc? haupo serious mzee hata kama una hasira usipende kufanya jambo kwa kuongozwa na mihemko
Tupe matokeo ya mechi 12 zilizopita
Chelsea kapata points ngapi..... ..?
Arsenal kapata point ngapi ........?
Lazima Arsenal atakuwa na trend nzuri kuliko Chelsea
Spidi ya Chelsea ni 50km/hr
Spidi ya Arsenal ni 80km/hr
Sasa mtuambie nani atamaliza nafasi ya 3 hapo
Tusipoangalia hata nafasi ya 4 itaenda kwa Spurs
 
Hizi n probability Tu Mzee..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Hizi n probability Tu Mzee..

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Points gained from last 12 matches between Arsenal, Chelsea and Spurs
  • Arsenal 27pts
  • Chelsea 18pts
  • Tottenham HotSpurs 24pts
Ndio maana wachina walisema no data no talk
Mpira ni sayansi na sayansi ni takwimu wewe unatulazimisha tubaki na imani kwa vitu vilivyo wazi kabisa
Katika mechi 38 na zilziobaki 16, sample ya mechi 12 inakubalika kabisa kidunia kuweza kugenerate prediction sahihi

Msimamo wa EPL May baada ya mechi za mwisho ni
  1. Mancity
  2. Liverpool
  3. Arsenal
  4. Spurs
  5. Chelsea
Miujiza na au majeruhi wote wapone na tusipate tena majeruhi ndio itakayotuokoa tusiwe nje ya top 4
 
Eden Hazard to Newcastle for only £23m
Zile addons zetu zimefia kapuni
 
Points gained from last 12 matches between Arsenal, Chelsea and Spurs
  • Arsenal 27pts
  • Chelsea 18pts
  • Tottenham HotSpurs 24pts
Ndio maana wachina walisema no data no talk
Mpira ni sayansi na sayansi ni takwimu wewe unatulazimisha tubaki na imani kwa vitu vilivyo wazi kabisa
Katika mechi 38 na zilziobaki 16, sample ya mechi 12 inakubalika kabisa kidunia kuweza kugenerate prediction sahihi

Msimamo wa EPL May baada ya mechi za mwisho ni
  1. Mancity
  2. Liverpool
  3. Arsenal
  4. Spurs
  5. Chelsea
Miujiza na au majeruhi wote wapone na tusipate tena majeruhi ndio itakayotuokoa tusiwe nje ya top 4
Mpira unachezwa uwanjani jombi..na pia kuna bahati na upepo mbaya km tungeenda na hizi probabilities basi stars leo wangekuwa wanacheza afcon....!

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Ukikuwa anahema na kubinua kile kiuono chake kama tipa inabinua mchanga, kakutana na KDB😅.

Unauliza kama mimgeshinda ningesemaje??? Ningesema mmebahatisha tu maana sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza fikiri kuwa Chelsea ni bora kuliko Man City, unless awe ni KICHWA MAJI kama wewe.
Sisi ni Bora sema tu ma Corona plus majeruhi hakika wale city wangetaga huu msimu hujatuendea fresh Ila sisi bado ni mabingwa wapya tunatawazwa hapo May 😀😀😀😂
 
Kiukweli ween need to sort ishu ya Rudiger na Christensen.

Tuuze Joginho na Kova tusajili kiungo wa caliber ya Fabregas.

Tusajili back up ya Kante.

Tusajili wingers wawili wakali, tuachane na Pulisic na Ziyech.

Yakikamilika haya ya juu, tuachane na back 3, Ili ipatikane accomodation ya Mount na Kai, wacheze nyuma ya Striker wakipokezana.

Strikers wanaweza kubakia Werner na Lukaku.

Somehow tutakuwa tumetransform mpira wa back pass na tutakuwa Threat.
Uuze kamanda Kova..!? Una akili kweli wewe??!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom