Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea hatukuwa na bahati nzuri mwaka huu kwa kupatwa na majeruhi wa5 na wagonjwa wa COVID wachezaji 9.

We Man City huna majeruhi wala mchezaji yeyote aliyepatwa na COVID-19.

Ikumbukwe timu zingine zilikuwa zikipatwa na majanga hayo hayo ya COVID-19 hata kwa wachezaji watatu tu mechi zilikuwa zikihairishwa lakini Chelsea hakuna mechi ambayo hakuacha kuendelea nayo kucheza.

Man City mko vizuri mwaka huu ila pia mna upepo wa kutopatwa na majanga kama wale wachezaji watatu tu wa Liverpool walivyopatwa na COVID-19 Liverpool ilipoteana.

Chelsea FC tumewazidi Man City kubeba makombe ya UEFA mara 2, Super Cup 2 na EPL mara 6 ukiwa na akili timamu.

Head to head matches Chelsea wamekuzidi hata kwa kupigwa goli 8-0 kwa mechi 1

UEFA kwa City ni 0, EPL 5 kujitutumua kote huko ili uonekane ni timu kubwa kumbe ni kenge wa bluu tu.
na hii city tunabeba epl ya6 dogo
 
Cheki hii takataka ..tungeshinda ungesema Hivi? Kuna kiungo Kama Kanye dunia hii ya Sasa..?
Ukikuwa anahema na kubinua kile kiuono chake kama tipa inabinua mchanga, kakutana na KDB😅.

Unauliza kama mimgeshinda ningesemaje??? Ningesema mmebahatisha tu maana sidhani kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza fikiri kuwa Chelsea ni bora kuliko Man City, unless awe ni KICHWA MAJI kama wewe.
 
Aggregate Ass.anal ametobilewa 7-1 na man city. Home and Away.

Au nasema Uongo ndugu zangu.
City kakosa clean sheet kwa Arsenal.

Game ya pili kashinda kwa msaada wa VAR.

Kwa cheltako ambayo yeyote anafunga hata kupata goli moja mmeshindwa
 
City kakosa clean sheet kwa Arsenal.

Game ya pili kashinda kwa msaada wa VAR.

Kwa cheltako ambayo yeyote anafunga hata kupata goli moja mmeshindwa
Hata game ya kwanza alikosa Cleansheet?
 
Baba ile kipa yeyote hadaki labda atangulie kuusubiria mpira upande ule ule
Mmekariri.

Keppa magoli ya mbali huwa yupo hivo.... Hamna kilichobadilika.

Hiyo ndio weakness yake siku zote.
 
Goals + Assists (PL)

  • Lukaku + Ziyech + Pulisic = 11
  • Mount = 12
Kiukweli ween need to sort ishu ya Rudiger na Christensen.

Tuuze Joginho na Kova tusajili kiungo wa caliber ya Fabregas.

Tusajili back up ya Kante.

Tusajili wingers wawili wakali, tuachane na Pulisic na Ziyech.

Yakikamilika haya ya juu, tuachane na back 3, Ili ipatikane accomodation ya Mount na Kai, wacheze nyuma ya Striker wakipokezana.

Strikers wanaweza kubakia Werner na Lukaku.

Somehow tutakuwa tumetransform mpira wa back pass na tutakuwa Threat.
 
Nyie cheltako njoo sasa mcheki game za wanaume nini wanafanya A.K.A pira biriani ndani ya vila parck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom