Hakuna kipa ambae anaweza cheza game zote katika kiwango kile kile,
Game 2 or tatu hazimfanyi zimshushe daraja
Kuna mifano mingi tu, ya makipa ambao kuna game wanafanya makosa ila haiwafanyi waonekana ni wabaya hata cech mwenye kuna game ashawai fanya makosa,
De gea kuna mda form yake ilidrop ila haikumfanya aonekane ni kipa mbaya
Kumuweka mendy daraja sawa na kepa sio sahihi
Kuna game bila mendy unaona kabisa hapa tungepigwa, game mbili za mwisho dhidi ya brighton na liver unahisi angekuwa kepa angetufanya tupats hata hiyo point 1, sawa kepa now kaimproved ila bado hajafikia kiwango cha mendy
Wazungu wanasema form is temporary but class is permanent