Wew ndie msemaji wa tuchelewe?Niliwahi sema hapa huyo Lukaku TT hakumtaka kabisa ni bodi tu ilimleta. TT yeye alimtaka Haaland ila baada ya usajili kushindikana ndio wakaona walete hilo zigo.
Tuchel asingemtaka asingemuanzisha bhana Tammy alikua hamtaki game kibao kamsugulisha mpka kauzwa Tuchel sio muoga kwenye kufanya maamuziNiliwahi sema hapa huyo Lukaku TT hakumtaka kabisa ni bodi tu ilimleta. TT yeye alimtaka Haaland ila baada ya usajili kushindikana ndio wakaona walete hilo zigo.
Wewe umechukua CL kwa kubahatisha ,huna tofauti na mwaka 2012 dhidi ya buyern Munich mseeHilo ndio kombe lake ila uefa awaachie wanaume








Tuchel asingemtaka asingemuanzisha bhana Tammy alikua hamtaki game kibao kamsugulisha mpka kauzwa Tuchel sio muoga kwenye kufanya maamuzi
Wewe umechukua CL kwa kubahatisha ,huna tofauti na mwaka 2012 dhidi ya buyern Munich msee![]()
Hamna timu pale tumejaza milevi tu ya kiingereza inayolipwa mishahara mikubwa.




Msimu uliopita mlitufunga na timu hii, msisingizie kutokua na wachezaji wazuri, Jifunzeni kuheshm mpinzani wako pia,Game ya leo plan aliyoingia nayo tuchel ilikuwa sahihi shida ikawa kwa wale front 3 wakishindw kutimiza maagizo,
Msim uliopita tulimfunga city coz ya wachezaj walikuwa wanapress kuanzia kwa mabek wa city na kutowaruhus kutofanya build up yeyote
The only way tunayoweza kumfunga city ni kuwa na wachezaj wenye pace na wanaoanzia kupress mbel na ndicho klopp anachofanikiwa hicho akikutana na city
Pulisic+ Ziyech+Alonso sidhana kama wanamaajabu yoyote wanayoweza fanya,
Usajili wa lukaku sidhan kama tuchel alimuhitaji
Board ya tim inamfelisha tuchel kwa kutompa wachezaj wanaoendana na system yake
Sarr pamoja na ubovu wake ni afadhali kuliko AlonzoKama wakat huu tuchel anashid na lwb n rwb tunakalia na habr za kumrejesha kenedy kweli,
Kubaki kutegemea alonslow na azp kama wingback zetu ni majanga
Leo sterling alimfanya alonslow jins anavyotaka yeye,
Sahiv hata speed ya uchezaj wetu imepungua coz kuna wachezaj hawaendan na mpira wa haraka sasa
Pulisic alikuwa likizo, Ziyech hajitambui kabisa, Odoi angeanza ingekuwa bora kidogoGame ya leo plan aliyoingia nayo tuchel ilikuwa sahihi shida ikawa kwa wale front 3 wakishindw kutimiza maagizo,
Msim uliopita tulimfunga city coz ya wachezaj walikuwa wanapress kuanzia kwa mabek wa city na kutowaruhus kutofanya build up yeyote
The only way tunayoweza kumfunga city ni kuwa na wachezaj wenye pace na wanaoanzia kupress mbel na ndicho klopp anachofanikiwa hicho akikutana na city
Pulisic+ Ziyech+Alonso sidhana kama wanamaajabu yoyote wanayoweza fanya,
Usajili wa lukaku sidhan kama tuchel alimuhitaji
Board ya tim inamfelisha tuchel kwa kutompa wachezaj wanaoendana na system yake
Lukaku hana shida, hapati huduma basiTuchel asingemtaka asingemuanzisha bhana Tammy alikua hamtaki game kibao kamsugulisha mpka kauzwa Tuchel sio muoga kwenye kufanya maamuzi
Kweli mkuu,TT alimtaka haaland hata mashabiki pia. Lukaku tulimchukua baada ya kushindwa kumchukua Haaland.Niliwahi sema hapa huyo Lukaku TT hakumtaka kabisa ni bodi tu ilimleta. TT yeye alimtaka Haaland ila baada ya usajili kushindikana ndio wakaona walete hilo zigo.
Board yetu siku zote huwa inazingua, kwa miaka ya hivi karibunUjue TT kuwa aina fulani ya uchezaji anaitengeneza ila wachezaji ndio wanamuangusha. Tufanye mabadiliko ya nguvu kama city walivyo fanya, TT apewe wachezaji anao wataka yy mwenyewe sio kuletewa. Wasio faaa watolewe upesi wa kwanza LUKAKU
Unaandika Kama vile hajawahi kulibeba na nakukumbusha tu ana UEFA mbili na alizibeba mbele ya Ferguson na hakuna kombe la heshima ambalo Pep hana.Hilo ndio kombe lake ila uefa awaachie wanaume
Mendy mwanzoni alikuwa Supperb, ila sasa wako sawa na Kepa tu, wawe wanafanyiwa rotationTafuta saves za Mendy zipo nyingi sana youtube.
Angalia long shots kama hizo anajiposition vipi.
Mendy mwanzoni alikuwa Supperb, ila sasa wako sawa na Kepa tu, wawe wanafanyiwa rotation
Game ya Liverpool ulisimuliwa.Nilisimuliwa goli la MasuakuGame ya Liverpool ulisimuliwa.