Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pep 🤣🤣🤣🤣🤣niliwaambia mimi hamuwezi kumfunga city🤣🤣

Kuna jamaa wa kuitwa OllaChuga Oc 😂😂😂😂😂
Umeona timu Yenu ilivyo takataka😁😁
 
Mmekariri.

Keppa magoli ya mbali huwa yupo hivo.... Hamna kilichobadilika.

Hiyo ndio weakness yake siku zote.
Posts za magoli zina inch kama 8 hivi ambazo mpira ukienda huko kama kipa yupo katikati kifuatacho ni goli.

Nafikiri ni wewe pia tulikua tunaongelea goli la Mendy na wiki hiyo makipa walifululiza kupigwa magoli ya mtindo kama wa leo akiwemo Neuer.

Yaani ni kwamba Kevin ana mpira na ni right footer anayeonekana yupo kwenye move kuelekea kushoto so kipa ataassume huyu right footer shuti litakuja upande wa kulia kwangu (Kushoto kwa atakayeshoot) hivyo anajitahidi kuendana na hii movement.

Shooter akiwa composed na kupress technically badala ya kutumia nguvu kinachotokea ndicho ulichokiona kwamba mpira sasa hauendi tena kushoto bali utaenda kulia ila saa hii utakua curved kuzifuata zile inch 8.

Hapo kipa yeyote hachomoki, Juzi Ter Stegen kapigiwa kama hiyo na Benzema akaiona kwa vile alikua ametokea angebaki golini kingekua chuma. Huyo Mendy amefungwa goli la aibu na Saka na amefungwa goli la aibu na Masuaku nini kinakuaminisha kwamba goli la kiutaalamu kama hili angeokoa?
 
Kuna kinega kimoja hua kinazurura kuita watu malaya. Timu yake ikifungwa na yeye anaanza kuitukana timu yake, kuna watu kichwani wana makaratasi
 
Posts za magoli zina inch kama 8 hivi ambazo mpira ukienda huko kama kipa yupo katikati kifuatacho ni goli.

Nafikiri ni wewe pia tulikua tunaongelea goli la Mendy na wiki hiyo makipa walifululiza kupigwa magoli ya mtindo kama wa leo akiwemo Neuer.

Yaani ni kwamba Kevin ana mpira na ni right footer anayeonekana yupo kwenye move kuelekea kushoto so kipa ataassume huyu right footer shuti litakuja upande wa kulia kwangu (Kushoto kwa atakayeshoot) hivyo anajitahidi kuendana na hii movement.

Shooter akiwa composed na kupress technically badala ya kutumia nguvu kinachotokea ndicho ulichokiona kwamba mpira sasa hauendi tena kushoto bali utaenda kulia ila saa hii utakua curved kuzifuata zile inch 8.

Hapo kipa yeyote hachomoki, Juzi Ter Stegen kapigiwa kama hiyo na Benzema akaiona kwa vile alikua ametokea angebaki golini kingekua chuma. Huyo Mendy amefungwa goli la aibu na Saka na amefungwa goli la aibu na Masuaku nini kinakuaminisha kwamba goli la kiutaalamu kama hili angeokoa?
Natamani nipate video nikuoneshe goals alizofungwa mendy halafu nikuoneshe na goal alizofungwa Keppa.

Labda utanielewa.

Mendy anajiposition vizuri sana mipira ya mbali.
 
Hapo kwenye kujiposition ndicho ninachokuambia kwamba kipa ili azuie goli lile hapo inabidi akajiposition kule pembeni jambo ambalo kipa mwenye akili timamu hawezi kulifanya as ataacha upande mmoja uko wazi ili kuanticipate hiyo curved ball ya kulia
 
Tafuta saves za Mendy zipo nyingi sana youtube.

Angalia long shots kama hizo anajiposition vipi.
 
Hio champion hata ma timu yaliyoshuka daraja yanayo kwa hiyo it's not big deal .....

Nottingham forest Wana CL 2 ,Sasa wewe unajivunia kama vile ni kombe la dunia

PL is everything msee
 
Wanaume tumekaa tunajadili mambo ya timu yetu, ase8 na nyumbu wanajipitisha mbele yetu wamevaa kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo.
Mnajadili mambo yenu au mnakata miuno yenu?
Sisi tumevutiwa na hio miuno yenu ya paka chongo baada ya kutiwa bao moja ndio maana hatubanduki hapa, nao mimba ishakua kubwa kenge anakaribia kuzaa.
 
Game ya leo plan aliyoingia nayo tuchel ilikuwa sahihi shida ikawa kwa wale front 3 wakishindw kutimiza maagizo,

Msim uliopita tulimfunga city coz ya wachezaj walikuwa wanapress kuanzia kwa mabek wa city na kutowaruhus kutofanya build up yeyote

The only way tunayoweza kumfunga city ni kuwa na wachezaj wenye pace na wanaoanzia kupress mbel na ndicho klopp anachofanikiwa hicho akikutana na city

Pulisic+ Ziyech+Alonso sidhana kama wanamaajabu yoyote wanayoweza fanya,
Usajili wa lukaku sidhan kama tuchel alimuhitaji

Board ya tim inamfelisha tuchel kwa kutompa wachezaj wanaoendana na system yake
 
Timu yako Nusura ishikishwe ukuta na Cotinho...

Amka usingizini.
 
Niliwahi sema hapa huyo Lukaku TT hakumtaka kabisa ni bodi tu ilimleta. TT yeye alimtaka Haaland ila baada ya usajili kushindikana ndio wakaona walete hilo zigo.
Game ya leo plan aliyoingia nayo tuchel ilikuwa sahihi shida ikawa kwa wale front 3 wakishindw kutimiza maagizo,

Msim uliopita tulimfunga city coz ya wachezaj walikuwa wanapress kuanzia kwa mabek wa city na kutowaruhus kutofanya build up yeyote

The only way tunayoweza kumfunga city ni kuwa na wachezaj wenye pace na wanaoanzia kupress mbel na ndicho klopp anachofanikiwa hicho akikutana na city

Pulisic+ Ziyech+Alonso sidhana kama wanamaajabu yoyote wanayoweza fanya,
Usajili wa lukaku sidhan kama tuchel alimuhitaji

Board ya tim inamfelisha tuchel kwa kutompa wachezaj wanaoendana na system yake
 
Kepa alikuwa sahihi alihisi jamaa atapiga upande wa kushoto ndio maana akasogea zaidi upande huo matokeo yake jamaa akasogea kidogo na kupiga kulia
Tafuta saves za Mendy zipo nyingi sana youtube.

Angalia long shots kama hizo anajiposition vipi.
 
Niliwahi sema hapa huyo Lukaku TT hakumtaka kabisa ni bodi tu ilimleta. TT yeye alimtaka Haaland ila baada ya usajili kushindikana ndio wakaona walete hilo zigo.
Kama wakat huu tuchel anashid na lwb n rwb tunakalia na habr za kumrejesha kenedy kweli,

Kubaki kutegemea alonslow na azp kama wingback zetu ni majanga

Leo sterling alimfanya alonslow jins anavyotaka yeye,

Sahiv hata speed ya uchezaj wetu imepungua coz kuna wachezaj hawaendan na mpira wa haraka sasa
 
Ujue TT kuwa aina fulani ya uchezaji anaitengeneza ila wachezaji ndio wanamuangusha. Tufanye mabadiliko ya nguvu kama city walivyo fanya, TT apewe wachezaji anao wataka yy mwenyewe sio kuletewa. Wasio faaa watolewe upesi wa kwanza LUKAKU
Kama wakat huu tuchel anashid na lwb n rwb tunakalia na habr za kumrejesha kenedy kweli,

Kubaki kutegemea alonslow na azp kama wingback zetu ni majanga

Leo sterling alimfanya alonslow jins anavyotaka yeye,

Sahiv hata speed ya uchezaj wetu imepungua coz kuna wachezaj hawaendan na mpira wa haraka sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom