Saa 9 na nusu alasiriLeo mechi itaanza saa ngapi wakuu.
shukrani mkuu.Saa 9 na nusu alasiri
Mbele leo yuko Lukaku akibebwa na Pulisic na ZiyechChangamoto ni kule mbele vijana wetu wana uwezo mdogo wa kuweka mpira nyavuni.
Kikosi kizuri Sana hapa namatumaini ya ushindi.