Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Thomas Tuchel kafocus zaidi kwenye Central block, ukiangilia Ziyech & Pulisic ni km wamepewa task ya kublock central lanes when off the ball, so city wanapata an increased time/ space kubuild attacks thru their backline.
 
So far Lukaku ana touch 2 tu. Zote kapiga back passes. Kazi yake ni kuonyesha mikono apasiwe ili afunge. Ila game kwake ni tight sana. Hii game kwa aina ya mchezo city wanaocheza Lukani haifai. Wanatakiwa wachezaji wanaoweza kufanya dribbling kuingia kwenye box. Odoi, kai na pulisic ndio qazuri kwenye hii game. Kwa kifupi chelsea 45 mns mmecheza pungufu.
 
Bado naona tuna nafasi ya kushinda kipindi cha pili

Kipindi cha kwanza tumecheza ufyongo mkubwa sana. TT anajitahidi kuwaelekeza wapande Juu ila naona wachezaji mipira mingi wanarudisha nyuma, kipindi cha pili tutegemee mabadiliko makubwa katika uchezaji na kwa hakika Man city ategemee kupata shida.

Hongera sana kwa Rudigur hakika amejua kuitendea haki nafasi aliyopo leo. Alonso anampa mzigo mkubwa san dogo Sar kwan hayuko makini kbsa, Kova naye naona hayuko kimchezo kbsa. Ziyech ndo amepwpweta balaa. Tuiombee kipindi cha pili tuwashangaze watoto wa Kipara
 
Hii Man city wataijutia sana wasitegemee kipindi cha pili watapata nafasi kama hii
1642253548109.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom