Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

.
IMG_20220114_091404.jpg
IMG_20220114_091511.jpg
20220114_091300.jpg
 
Rudiger amesema yeye anataka kubakia Chelsea
Mimi naona hata hao PSG na Madrid hawatampa zaidi ya alichoahidiwa Chelsea
So muda wowote mtasikia Rudiger na Christansen wamesaini mkataba
Naona christensen anataka challange mpya ,

Rudiger huenda akabaki na akasign mkataba wa miaka 4 huku akipokea 180K
 
Mimi Sina maneno mengi ,kitakachowakuta kesho ni "mama mkanye mwanao aache kushoboka"
 
Siku Chelsea akiwa anacheza Game ambayo ina Presha kubwa nikipataga wasiwasi kdgo tu Huwa huo mchezo tunapoteza

Ila nisipopata shaka yoyote huwa ushindi ni lazima

Leo ushindi upoo msiwe na shaka Tutawashangaza vijana wa Kipara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom