Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wamecheza vizuri sana first half yote na dk kama 20 ya second half, baada ya hapo Spurs waliboresha mpira wao lakini sio kutupita
Isingekuwa VAR leo ingekuwa 3-1 in Aggregate 3-3
Rafu ya Rudiger refa katoa penalti kwa spurs wakati rafu ilifanyikia nje ya box, penalti ya pili Kepa kaucheza mpiora vizuri lakini refa akwapa Spurs penalti, VAR ikapangua. Goli la Kane kukataliwa sikuelewa hiyo offside imekuwaje lakini mtangazaji kasema Kane alikuwa mbele ya kipa na hivyo kwa sheria za mpira ni offside
Hyo n offside dhahiri ... Kepa alifanya vizuri pale kutulia km beki wa pili ilhali rudiger alienda kutoa cover golini km mlinzi WA mwsho...km kepa angefanya kukimbilia golini angeua Ile offside ...... tukio km Hilo nasikia lishatokea mechi moja ya arsenal msimu huu....mechi ya kombe la dunia Mexico Vs South Africa...n.k. tatizo n kwamba haya matukio Labda n nadra. Sana kutokea
 
Hiyo ni ndoto
Tetesi

Mbape anaweza kuja Chelsea na Lukaku akaenda PSG
Mbape amekataa kusaini mkataba mwingine na PSG na huu wa sasa utaisha mweziw a sita mwaka huu
Akiwa mdogo Mbape alipigwa picha akiwa na jezi ya Chelsea yenye namba 10, hii ni ishara kuwa Mbape yawezekana utototni alikuwa na ndoto ya kuichezea Chelsea siku moja.

Sasa kufuatilia saga la Lukaku na mahojiano aliyofanya December mwaka jana na Sky Sport Italia, PSG wameweka nia ya kumasajili hata kwa paundi mil 90 msimu ujao
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20220113-085620_Twitter.jpg
 
Jana Sarr alicheza wing back wa kushoto
Sasa tuna Hall na Sar kama backup ya Alonso

Jumamosi itapendeza zaidi ikiwa hivi

------Werner ----------------Lukaku-------Havertz------

Sarr------------Kovacic---------Kante------------Azpilicueta

Rudiger-----------------Silva--------------Christansen

---‐----------------------'---Kepa-------------------------------
 
Toa kai weka Ziyech
 
Sarr ule uchochoro [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Baada ya mil 3 kukataliwa sasa Chelsea wanatoa mil 4 kumrudisha Emerson darajani
1642090689582.png
 
Tetesi

Mbape anaweza kuja Chelsea na Lukaku akaenda PSG
Mbape amekataa kusaini mkataba mwingine na PSG na huu wa sasa utaisha mweziw a sita mwaka huu
Akiwa mdogo Mbape alipigwa picha akiwa na jezi ya Chelsea yenye namba 10, hii ni ishara kuwa Mbape yawezekana utototni alikuwa na ndoto ya kuichezea Chelsea siku moja.

Sasa kufuatilia saga la Lukaku na mahojiano aliyofanya December mwaka jana na Sky Sport Italia, PSG wameweka nia ya kumasajili hata kwa paundi mil 90 msimu ujao
Acha kuota Ndoto mzee...

Mbappe kuja chelsea ni ndoto.
 
Jana Sarr alicheza wing back wa kushoto
Sasa tuna Hall na Sar kama backup ya Alonso

Jumamosi itapendeza zaidi ikiwa hivi

------Werner ----------------Lukaku-------Havertz------

Sarr------------Kovacic---------Kante------------Azpilicueta

Rudiger-----------------Silva--------------Christansen

---‐----------------------'---Kepa-------------------------------
Huyo Sarr anacheza dhidi ya man city. Utamkataa nakuambia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom