Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Siku Chelsea akiwa anacheza Game ambayo ina Presha kubwa nikipataga wasiwasi kdgo tu Huwa huo mchezo tunapoteza

Ila nisipopata shaka yoyote huwa ushindi ni lazima

Leo ushindi upoo msiwe na shaka Tutawashangaza vijana wa Kipara
Manabii wanatabiri hivi
1642250031334.png
 
Rudiger anwapa shida Grealish na Cancelo
Sar hadi sasa anacheza vizuri
Alonso bado sana
Ziyech mpuuzi
 
Chelsea wanawaruhusu City kukaa na mpira sana, wameshaingia kwenye mtego wao. Nafasi chache zikipatikana wapuuzi kama Ziyech wanaharibu
 
Yani sijui ollachuga anapumulia nini huko kwa jinsi mlivyotingwa yani muombeni sana Mungu tu leo.
 
Kepa katulia kuliko hata Mendy, kazi anayofanya leo sio ndogo
 
Chelsea wanawaruhusu City kukaa na mpira sana, wameshaingia kwenye mtego wao. Nafasi chache zikipatikana wapuuzi kama Ziyech wanaharibu
City is unpressable team, tena ni ngumu kwa kocha anayecheza back 5, so sterling Grealish are pinning your FBs, Lukaku press in between city's CBs to block passing lane to Rodri meanwhile Walker and Cancello are free players on the pitch, how can you have the ball when you cant press 'em?
 
Tunaenda mapumziko bila hata shuti moja kwenda ndani au hata pembeni mwa goli
 
City is unpressable team, tena ni ngumu kwa kocha anayecheza back 5, so sterling Grealish are pinning your FBs, Lukaku press in between city's CBs to block passing lane to Rodri meanwhile Walker and Cancello are free players on the pitch, how can you have the ball when you cant press 'em?
Ongea kiswahili bhana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom