Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale mnatizama hii game vp tunacheza vizuri kweli? Maana naona huko live score tumewazidi kila kitu pasi kama zote
 
Chelsea wamecheza vizuri sana first half yote na dk kama 20 ya second half, baada ya hapo Spurs waliboresha mpira wao lakini sio kutupita
Isingekuwa VAR leo ingekuwa 3-1 in Aggregate 3-3
Rafu ya Rudiger refa katoa penalti kwa spurs wakati rafu ilifanyikia nje ya box, penalti ya pili Kepa kaucheza mpira vizuri lakini refa akwapa Spurs penalti, VAR ikapangua. Goli la Kane kukataliwa sikuelewa hiyo offside imekuwaje lakini mtangazaji kasema Kane alikuwa mbele ya kipa na hivyo kwa sheria za mpira ni offside
 
Chelsea wamecheza vizuri sana first half yote na dk kama 20 ya second half, baada ya hapo Spurs waliboresha mpira wao lakini sio kutupita
Isingekuwa VAR leo ingekuwa 3-1 in Aggregate 3-3
Rafu ya Rudiger refa katoa penalti kwa spurs wakati rafu ilifanyikia nje ya box, penalti ya pili Kepa kaucheza mpiora vizuri lakini refa akwapa Spurs penalti, VAR ikapangua. Goli la Kane kukataliwa sikuelewa hiyo offside imekuwaje lakini mtangazaji kasema Kane alikuwa mbele ya kipa na hivyo kwa sheria za mpira ni offside
Wachezaji wameonesha uvumilivu mkubwa sana Jana ila refa alikua anastahili kupigwa Kofi kichwani ili akili ikae sawa kwanza.
Offside ya Kane nimejaribu kufuatilia Sheria za offside nimeshindwa kuelewa make Kuna mchezaji wa Chelsea alikua mbele golini.
Maamuzi ya refa imeonesha kua uzoefu wa wachezaji kupinga maamuzi ya refa kwa hatua ya awali inasaidia sana.
Naiombea Chelsea wachezaji wake wasipate tena majeruhi katika kipindi hiki.
 
Always sheria ya Offside inaangaliaga mtu wa mwisho. Yaani hata kama kipa akitoka golini basi atakayekuwepo golini muda huo ndio atahesabika kama kipa.

Mpira wakati unapigwa Kane ndio alikuwa mtu wa mwisho(Mguu ulizidi kidogo). Aliyekuwepo golini ni rudiger.

So rudiger ndio alihesabiwa kama ni kipa. Ndio maana ni Offside.
 
Wachezaji wameonesha uvumilivu mkubwa sana Jana ila refa alikua anastahili kupigwa Kofi kichwani ili akili ikae sawa kwanza.
Offside ya Kane nimejaribu kufuatilia Sheria za offside nimeshindwa kuelewa make Kuna mchezaji wa Chelsea alikua mbele golini.
Maamuzi ya refa imeonesha kua uzoefu wa wachezaji kupinga maamuzi ya refa kwa hatua ya awali inasaidia sana.
Naiombea Chelsea wachezaji wake wasipate tena majeruhi katika kipindi hiki.
Offside inaangalia mtu wa mwisho na siyo nani yupo golini.
 
Ndio maana kila siku nasema ile safu yetu ya ushambuliaji kule mbele imejaa UTOTO mwingi.

Kuna washambuliaji 3 wanaanza 1st eleven uwezo wao ni wa kuanzia benchi (SUB)

Timu ina washambuliaji 7 kufunga goli 1 tuu wanashindwa.

Kwa ukubwa wa Chelsea tunastahili kuwa na washambuliaji wakatili mbele ya goli na wenye uwezo wa kuamua mechi.
Hatuna no 10 wakupiga penetration pass kama Fabregas kwenye team yetu mount anajua kupiga pass za corner tu ndio maana sometimes washambuliaji wetu hawafungi
 
Mount bado mdogo, naamini Fabregas akiwa kwenye huo umri alukuwa hivyo hivyo au hata stats za Mount zikawa bora zaidi
 
Rudiger amesema yeye anataka kubakia Chelsea
Mimi naona hata hao PSG na Madrid hawatampa zaidi ya alichoahidiwa Chelsea
So muda wowote mtasikia Rudiger na Christansen wamesaini mkataba
 
Tetesi

Mbape anaweza kuja Chelsea na Lukaku akaenda PSG
Mbape amekataa kusaini mkataba mwingine na PSG na huu wa sasa utaisha mweziw a sita mwaka huu
Akiwa mdogo Mbape alipigwa picha akiwa na jezi ya Chelsea yenye namba 10, hii ni ishara kuwa Mbape yawezekana utototni alikuwa na ndoto ya kuichezea Chelsea siku moja.

Sasa kufuatilia saga la Lukaku na mahojiano aliyofanya December mwaka jana na Sky Sport Italia, PSG wameweka nia ya kumasajili hata kwa paundi mil 90 msimu ujao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom