lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,910
Sijawahi kumkubali Ndembele, Namuona kama mchezaji wa kawaida sana, sio mchezaji wa kuamua matokeo. Tunao wazuri kuliko yeyenaskia tt anapambana aletewe dembele wa barca
Usajili wa Chelsea utakaofuata uwe wa kuleta mchezaji mwenye kuamua matokeo iwe ni mshambuliaji, kiungo au beki