Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lukaku amestaajabishwa na jinsi hisia kali za watu walivyoipokea maoni yake kwenye hiyo interview aliyofanya an SkySport Italia. Amesema hakukusudia iwe katili kama ilivyopokelewa.

Speaking to GiveMeSport, Jones said: "He's been quite upset, I'm told, by the reaction to the story, the way it's all blown up. He didn't think it'd be quite as brutal as it has been."
 
Muda wowote, atasaini mkataba mpya
1641240600233.png
 
Lukaku ni takataka tu
Lukaku amestaajabishwa na jinsi hisia kali za watu walivyoipokea maoni yake kwenye hiyo interview aliyofanya an SkySport Italia. Amesema hakukusudia iwe katili kama ilivyopokelewa.

Speaking to GiveMeSport, Jones said: "He's been quite upset, I'm told, by the reaction to the story, the way it's all blown up. He didn't think it'd be quite as brutal as it has been."
 
Lukaku amekiri kuwa mahojiano na SkySport Italia ilikuwa ni makosa

Na sasa Lukaku ataendelea kuwepo darajani kwa misimu miwili bila wazo la kuhama baada ya hali ya hewa kusafishwa. Timu nzima akiwemo kocha wamekubaliana na Lukaku aendelee na maisha yake pale darajani na kuisaidia Chelsea kurudi tena kwenye mbio za ubingwa.

Romelu Lukau accepts his interview with Sky in Italy was a mistake; Belgian said he was unhappy with his role at the club; striker will not leave Chelsea in the next two transfer windows following clear-the-air talks with Thomas Tuchel.

Following conversations with Tuchel, there is now a commitment from all parties for Lukaku to move on from the interview and help Chelsea reignite their Premier League title bid.
 
Pamoja na kwamba Lukaku alifanya makosa kufanya ile interview na Sky Sport Italia ila mimi naona ilikuwa ni sawa kumuweka kocha sawa
Tukumbuke kuwa hata Conte aliwahi kutoa coment kuwa Lukaku hatumiwi ipasavyo hapo Chelsea
Hii interview itamlazimisha sasa Tuchel afikiri namna mbadala ya kumtumia Lukaku kwa faida ya timu
Conte alikuwa akimtumia Lukaku kwenye dyanamic role (especially zinazorelate na counter attack kama wengine walivyokwisha sema huko nyuma) lakini pia role nyingine ni kuhakikisha kuwa mipira inapelekwa nyingi kwa Lukaku, iwe ni kwa counter, long bals au short passes ziende nyingi.
Mimi naamini Lukaku akipelekewa krosi 5 moja itazaa goli
Akipelekewa pasi nzuri 5 moja itazaa goli iwe kwa njia ya penalti au assists and yeye mwenyewe kufunga
Hii ya kumuacha Lukaku awe static uwanjani hadi dk 90 haikubaliki kabisa
Kwa jinsi inavyoelekea, Luakau atasamehewa na atarudi kujiunga na wengine, lakini mark my words, uchezaji kule mbele utabadilika, na Lukaku atakuwa na deni kubwa la kuprove uwezo wake kama sehgemu ya kufuta hisia mabya za hasira iliyowaingia mashabiki baada ya yale maoni yake kwenye interview

Tumtegemee Lukaku mpya, magoli mengi kama alivyoanza kwenye mechi za Aston Villa na Brighton

TT ameiambia BBC Sport kuwa jumatatu, yaani leo, angekaa na Lukaku ili wajadiliane majukumu yake pale mbele kwa msimu uliobaki

The manager has since confirmed, per BBC Sport, that he is set to sit down with Lukaku on Monday in order to discuss his role at the club for the remainder of the season.
Jambo la nidhamu ni muhimu, lukaku asipangie kocha wetu la kufanya, hana mafunzo ya ukocha, tuna sports director makocha wasaidizi sports consultants, wanao lipwa vzri, unataka kumanisha hawafanyi kazi zao Lukaku ndo a akili kuliko wote?
lembu jifunze kua na msimamo kama mwana Umme mtu hawezi kudhalilisha timu yetu kubwa tena amsupport hivo,.......Chelsea can do without lukaku ila lukaku can't move on without Chelsea, lzma ajirudi na kukili makosa yake, otherwise ataumia mashabiki wa uingereza wana misimamo wsnaweza kumkataa asipo omba msamaha.
 
Na akikuomba mavi inaelekea pia utamuamini na utampa.
Mwamba ulipotelea wapi watu wamekuwa wakikulizia happy to see you ag
Lukaku amekiri kuwa mahojiano na SkySport Italia ilikuwa ni makosa

Na sasa Lukaku ataendelea kuwepo darajani kwa misimu miwili bila wazo la kuhama baada ya hali ya hewa kusafishwa. Timu nzima akiwemo kocha wamekubaliana na Lukaku aendelee na maisha yake pale darajani na kuisaidia Chelsea kurudi tena kwenye mbio za ubingwa.

Romelu Lukau accepts his interview with Sky in Italy was a mistake; Belgian said he was unhappy with his role at the club; striker will not leave Chelsea in the next two transfer windows following clear-the-air talks with Thomas Tuchel.

Following conversations with Tuchel, there is now a commitment from all parties for Lukaku to move on from the interview and help Chelsea reignite their Premier League title bid.
Tumemsamehe huo ndio uungwana nimependa namna TT alitatua Huu mgogoro ametumia busara na akili kubwa amevuka mtego uliowashinda kina Mourinho, Conte ametatua tatizo at earliest stage kabla alijawa kubwa zaidi
 
Chelsea Player Ratings vs Liverpool 2 Jan 2022 at Stanford Bridge
  1. Edouard Mendy - 8/10
  2. Chalobah - 6/10
  3. Thiago Silva - 7/10
  4. Rudiger - 7/10
  5. Azpilicueta - 6/10
  6. Alonso - 6/10
  7. N'golo Kante - 8/10
  8. Mateo Kovacic - 9/10
  9. Mason Mount - 7/10
  10. Pulisic - 7/10
  11. Havertz - 6/10
  12. Jorginho - 5/10
  13. Odoi - 6/10
Mendy alifaa apate 9 kafanya saves za hatari sana mwamba na za viwango kwelikweli.....

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Lukaku amekiri kuwa mahojiano na SkySport Italia ilikuwa ni makosa

Na sasa Lukaku ataendelea kuwepo darajani kwa misimu miwili bila wazo la kuhama baada ya hali ya hewa kusafishwa. Timu nzima akiwemo kocha wamekubaliana na Lukaku aendelee na maisha yake pale darajani na kuisaidia Chelsea kurudi tena kwenye mbio za ubingwa.

Romelu Lukau accepts his interview with Sky in Italy was a mistake; Belgian said he was unhappy with his role at the club; striker will not leave Chelsea in the next two transfer windows following clear-the-air talks with Thomas Tuchel.

Following conversations with Tuchel, there is now a commitment from all parties for Lukaku to move on from the interview and help Chelsea reignite their Premier League title bid.
Hiyo haiondoi nia,dhamira,mahitaji,na matamanio/matakwa yake maana ametoa lililo nafsini mwake,na kuna siku atasema tena iwe kwa maneno au kwa vitendo.
Be prepared.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo haiondoi nia,dhamira,mahitaji,na matamanio/matakwa yake maana ametoa lililo nafsini mwake,na kuna siku atasema tena iwe kwa maneno au kwa vitendo.
Be prepared.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kila mtu ana matamanio, matakwa nyingi tu, fursa zikizopo ndizo zinatulazimisha matamanio mengine yafe kifo cha mende. Kila mchezaji pale Chelse ana matamanio yake na wengine kucheza nje ya Chelsea, professionalism ndio inawalazimisha kukaa kimya na kujitoa kwa Chelsea. Lukaku hana ujanja pamoja na hayo matamanio yake atafunga bakuli lake na atawork hard kurudisha imani iliyopotea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom