Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1641185555287.png
 
CEO wa Inter alisema hakuna tofauti kati ya Lukaku na Dzeko
1641185616845.png
 
Goli likishaingia ni hatari ila lingepanguliwa hasa na Mendy ingekuwa stori nyingine, posture yake haikuwa ya kigolie, wewe kamuangalie Mendy again
Kaka lile goal limefungwa kitaalamu mno,sala alikuwa anadanganya kama anatoa asaist hvi,kipa na mabeki wakawa wanamawazo mawili ilikuwa sio rahisi kuicheza,hapo ni kumsifu mfungaji
 
Hiyu Lukaku hana namna lazma abaki chalsea na atauzwa kwa matakua ya management ya chalsea.
Sasa utakua unalipa mtu 300K+ per week na hachezi hapo unamkomoa nani? Kata wage bill uongeze watu
 
Hapana anapewa mda kujirekebisha akigoma kuomba msamaha ili yaishe unampeleka mkopo timu kama westham.
 
Mimi siyo hater ila nakubaliana na yeyote anayeongea ukweli. Mfano Ibrahimovic alisema united ni timu ndogo nikamkubalia, akasema chelsea ni timu ndogo nikakubali sasa kwanini kwa lukaku nisikubali?
Ibrahimovic ni lijingajinga

Aliwahi sema Chelsea inanunua mafanikio kwa pesa still likaenda psg kufata pesa na likaenda marekani kwenye soka bovu kufata pesa

Sasa kama unakubaliana na maneno ya Ibrahimovic basi jichunguze mwenyewe kama.uko sawa

Lukaku alikuja chelsea coz inter wana matatizo ya uchumi waliuza wachezaji tegemeo wengi tu na hii ilimfanya conte aachane nao coz hakutaka hilo litokee

Chelsea plan zake zilikuwa kwa Halaand wala sio lukaku.halaand alikuwa ana thamani ya zaidi ga 150m negotiation hazikwenda vizuri na zaidi halaand mwenyewe haipendi ligi ya uingereza(kiazi ndezi)

Ndio tukaangukia hapo kwa hiko kiroba

Kisa kanunulia kwa pesa ndefu akaana kujiona mkubwa kuliko timu analeta kiburi na kuongea shits inashusha morale ya timu .

Tulikuwa kuwa na Torres alinunuliwa kwa rekodi ya mauzo kipindi kile lakini hakuwa mpiga domo

Torres wa Liverpool sio wa Chelsea maana Liverpool alikiwa mashine hasa

Ila hadi leo torres anaipenda Chelsea kweli kweli over Liverpool coz alkuwa na good moments ndani ya Chelsea japo kuwa hakufunga mara kwa mara na amshinda makombe ndani ya chelsea

Mcheki fabregas yule wa asernal dogo mmoja anapiga soka matata sana kuanzia iliyokuwa highbuy hadi emirates

Lakini fabregas anaipenda Chelsea kuliko hio aser8 iliyomtoa la masia hispania(mfatilie insta utaelewa[emoji2]) unajua kwanini!? .Chelsea imempa makombe imemuheshimisha kama mchezaji .

Nenda kamcheki girioud uone. Alipokuwa asernal alikuwa anagonga magoli daliy ila makombe ziiiiiii!!![emoji2]

Alipokuja Chelsea kashinda makombe .Giroud ana kumbukumbu nzuri za maisha ndani ya Chelsea haishi kuizunguzmia chelsea na ana washikaji kibao Chelsea .

Sasa lukaku hajifunzi analeta ujuaji wakati hana alama yoyote ndani ya klabu

Asepe zake
 
Akija kusema Asani-Ali atachukua ubingwa baada ya miaka 100 utamkubalia pia
 
Mi sioni wapi Ibrahimovic kaongopa kuhusu chelsea kununua mafanikio.

Mpaka sasa imetumia 2.4B ikifuatiwa na City iliyotumia 2.3B.

Lukaku kuongea ukweli kwanini iwe dhambi?

Mimi kukubali ukweli wa Lukaku kwanini nionekane hater?

Au hujui maana ya hater?
 
Just like Tuchel, Chelsea players are surprised with Romelu Lukaku’s behaviour of late and didn’t see it coming. Some see it as an attempt to force a move.

Source to The Athletic: “I was speaking to one of the players and asked him if anyone was sticking up for Lukaku. He said no. None of them can believe he’s done it.”
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom