Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Hio performance hutakuja kuicheza Tena mpaka dunia inafika kikomaaTukikupigia mpira kama tuliompigia liver leo hitoki




Hio performance hutakuja kuicheza Tena mpaka dunia inafika kikomaaTukikupigia mpira kama tuliompigia liver leo hitoki




Wajomba kwa anaefahamt vipi insu ya lukaku hatma yake ni ipi wana blues wenzangu?
Unatetea ujinga au we kisa n HATER?Expensive signing inaongea ukweli inanuniwa
Mimi siyo hater ila nakubaliana na yeyote anayeongea ukweli. Mfano Ibrahimovic alisema united ni timu ndogo nikamkubalia, akasema chelsea ni timu ndogo nikakubali sasa kwanini kwa lukaku nisikubali?Unatetea ujinga au we kisa n HATER?
Tuendelee na ile episode ya LUKAKU, je adhabu imeisha au bado ianendelea?
wanamlamba makalio hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu aondoke hata january hii poa tu
Thom aliwahi sema ni rahisi kuisimamia chelsea kuliko PSG as PSG utatakiwa kusimamia mastar mpaka marafiki na ndugu zao nafikiri man management ya Thom siyo nzuri.wanamlamba makalio hakuna mchezaji mkubwa kuliko timu aondoke hata january hii poa tu
Huu utopolo gani tena, no message, nothing
Kwa yanayoendelea naamini Lukaku hajaletwa na kocha mambo ya Werner na wakina Sarr kwa Lampard yanajirudiaHuu utopolo gani tena, no message, nothing
nawaza chiz kama mou sijui angempa kauli ganiThom aliwahi sema ni rahisi kuisimamia chelsea kuliko PSG as PSG utatakiwa kusimamia mastar mpaka marafiki na ndugu zao nafikiri man management ya Thom siyo nzuri.
Makocha wengi wangemdrop Lukaku na kocha kama Ferguson anakutoa kwa mkopo Norwich.