Hapa ndo shida ilianza..Kwa matokeo yakiwa hivi sijui ingekuwaje.Pulisic hapo mbele kujaza nafasi tuu
Naona wanakomaa ila ndio 2 - 0Komaeni
Political decisions huwa zina consequencesPumbavu kabisa Chelsea, unamuachaje nje Lukaku? Ngoja mpigwe
Alitakiwa kukaa nani?Hapa ndo shida ilianza..Kwa matokeo yakiwa hivi sijui ingekuwaje.
Bora tupigwe kuliko kumuonea Lukaku wakati kasema ukweli. Unatuwekea vifaranga mechi ya wanaume ili upate wapi ushindi?Pumbavu kabisa Chelsea, unamuachaje nje Lukaku? Ngoja mpigwe
Nilisema pale juu. Kama yuko fit atumike badala ya kukomaa na petty issues. Kocha kakubali pressure acha avune. Unaona kabisa leo missing piece was someone like LukakuDecision to leave him out was idiotic