Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ipi sasa? Lukaku akiwa na faida atabakia darajani. Mark these words. Hayo mengine na maboss wake watayaweka sawa then huku mtaani mtabaki mnalalama tu. Lazima ujue mpaka wa kuwa shabiki kwenye biashara za watu
Lukaku kuachwa kwenye line up leo ni sehemu tu ya adhabu ili pia kutuliza ghazabu ya mashabiki. Upepo ukishapita Lukaku ni mchezaji wa Chelsea tu na atatumikia mkataba wake hadi uishe. Ataomba msamaha itaisha
 
Naona TT ameamua opt draw au ushindi mwembamba wa 1-0
Screenshot_20220102-183328_OneFootball.jpg
 
Nyuma mtoto ni Chalobah tu
Katikati hakuna mtoto pale
Mbele watoto watupu wa miaka 22 wakutane na VVD na Konate
 
Nyuma mtoto ni Chalobah tu
Katikati hakuna mtoto pale
Mbele watoto watupu wa miaka 22 wakutane na VVD na Konate
Kwani wanaenda kucheza mweleka mkuu, wana skills za kitosha na kuna adhabu za kucheza vibaya wakiwachezea
 
Pulisic hapo mbele kujaza nafasi tuu
Suppersport wameonyesha Havertz ndio false no 9

--------------------Havertz------------------

Pulisic ----------------------------------Mount

Alonso ------- Kovacic --------Kante ---------Azpilicueta

--------Rudiger--------Silva -------- Chalobah ----------

---------------------------Mendy----------------------------------
 
TT kasema Lukaku kaachwa kwa sababu ya makelele mengi yaliyosababishwa na interview yake na Sky Sport Italia na wao walitaka concetration kubwa kwenye mechi kubwa kama ya leo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom