juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Sasa ni mda wa uongozi umpatie tuchel wachezaj watakaompa anachotaka na si kujaza wacheza ilimradi tu tuonekane tumesajili lwb/rwbLakini Klop alikunywa magoli Heanderson na Fab walipokuwa wanacheza kama CB
Ndio hali tuliyonayo sasa tunaonekana tunakikosi kipana ila quality sio ni tofauti na city wanakikosi kipana quality zimezidiana kidogo ila sisi back up zetu upande wa pemben lwb/rwb ni majanga zimeshachoka
Anyway james atakuwa nje kwa atleast miezi 2,
Tujiandae na pira alonso pira azplicueta katika kipindi hichi




Chilwell