Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chilwell - majeruhi
James - majeruhi

Kante - injury prone
Kovacic - misuli inawaka moto
Christensen - anadeka na maumivu

Kule mbele utoto mwingi.

Azipu - Kazeeka
Alonso - Back passes ndio chakula chake
Joghnho - Ulimbo

Kazi ipo.
Roman n board wamsapoti Tuchel Jan hii km hyo deal y digne .n sehemu nyingine la sivyo n Mwendo wa double chance Kwa timu pinzani
 
Huwezi kupiga counter attack watu wamepack basi.
Counter haipigwi kila wakati, unalazimisha makosa nafasi ikitokea unapiga, isipotokea unakuwa na plan B

Counter ni goal build-up inayofanywa kwa haraka kabla defence haijapaki mabasi

Ref Chelsea vs Juventus. Wale jamaa walipaki mabasi kweli kweli lakini baada ya HT tulibomoa defence na kunyunyizia magoli mengi kwenye nyavu zao
 
Chilwell - majeruhi
James - majeruhi

Kante - injury prone
Kovacic - misuli inawaka moto
Christensen - anadeka na maumivu

Kule mbele utoto mwingi.

Azipu - Kazeeka
Alonso - Back passes ndio chakula chake
Joghnho - Ulimbo

Kazi ipo.
Yaani kwa Alonso hapo, mechi ambayo hakucheza back passes nyingi siku hiyo ataona hakucheza vizuri
 
Tuchel on Lukaku Interview with Sky Sport Italia

Tuchel would not confirm whether Lukaku would face disciplinary action and said the 28-year-old had hurt Chelsea’s focus before they try to revive their ailing title challenge by beating Liverpool on Sunday.

“We don’t like it,” Tuchel said. “It brings noise that we don’t need and it’s not helpful. We don’t want to make more out of it than it actually is. It is easy to take lines out of context, shorten lines, make headlines and then realise later that it is not so bad. We need a calm environment and focus and this does not help.”

“This is the problem because you have a quote in another direction and he says he had a chat with me,” Tuchel said. “Then the suggestion comes and it seems the chat was about how he was not happy how we used him. But maybe that was not the chat. We have chats with a lot of players. This is a normal chat.

“We have a discussion now where it seems that we benched him because other players suited our style better. Romelu played when he came, then he got injured, then he caught Covid and when he came back, he played with no training in Aston Villa. That’s why I’m surprised. There is absolutely zero going on. Maybe he has a problem so he needs to speak up. I don’t have one.”

Tuchel was asked how Lukaku could best function in his system. “Training, training, playing,” he replied. “Training, playing, training, sleeping, eating good, training, playing, sleeping, eat good, drink a lot of water, sleep, train and don’t give interviews.”
 
Maoni ya TT kuhusu comment ya Lukaku alipohojiwa na Sky Sport Italia
  1. Hakusema kama kuna adhabu yeyote atakayopewa
  2. Maoni yake hayafurahishi wala hayajengi lakini hatutakurupuka
  3. Simuoni Lukaku kama hana furaha badala yake naona tofauti
  4. Hisia za Lukaku yatashughulikiwa ndani kwa ndani (Behind closed doors)
  5. Tutayashughulikia kwa uwazi kama tufanyavyo na hatutayatoa tena hadharani
  6. Amekana kama maoni ya Lukaku itachafua hali ya hewa deressing room
 
Lile goli la kusawazisha Chalobah angeenda mbali zaidi, naona kama hakuweka juhudi kwenye kuruka ili kumvurugia Welbeck hilo goli la kichwa
Angekuwa Silva hapo leo tungekuwa tunaongelea point 3 muhimu

Any way, still young anayo safari ndefu ya kukua
 
Lile goli la kusawazisha Chalobah angeenda mbali zaidi, naona kama hakuweka juhudi kwenye kuruka ili kumvurugia Welbeck hilo goli la kichwa
Angekuwa Silva hapo leo tungekuwa tunaongelea point 3 muhimu

Any way, still young anayo safari ndefu ya kukua
Unaongelea mapito subili kipigo kutoka kwa Liverpool kwanza
 
Siri ya TT kufanya vizuri ni kwenye Wing backs ambao wote watakosekana kwa muda mrefu
James 2 months
Chilwell all season

January hatuna ujanja, tuingie sokoni kwa nguvu, Emerson, Azpi, Alonso hawataziba mapengo
 
Alipoulizwa kuwa atamtumiaje Lukaku awe kwenye ubora wake?
TT alijibu

Mazoezi, mazoezi, mazoezi, mazoezi, kucheza, mazoezi, kulala, kula vizuri, mazoezi, kucheza, kulala, kula vizuri, kunywa maji mengi, kulala, mazoezi na kutoshiriki kwenye mahojiano na vyombo vya habari

Tuchel replied brilliantly, saying: "Training, training, playing. Training, playing, training, sleeping, eating good, training, playing, sleeping, eat good, drink a lot of water, sleep, train and don’t give interviews."
 
Lukaku kasems haka katimu ni ka kijinga na hakapendi amekuja kwavile mshahara mkubwa ila leo kesho anatamani arudi Inter
 
Niliwahi sema hapa hili zigo la kilo 100 ni upuuzi kucheza Chelsea hafai ata kidogo. Ona sasa linacho ongea
 
Arsenal wanaonyesha kandanda safi, city wanaonekana kama sio EPL team
Hii Arsenal tukikutana nayo na hizi back passes zetu watatumaliza kabisa
It is an attacking minded team, wote kabisa wanawaza tu kushambulia na wakosharp, clinicla na ball control ya hali ya juu
 
Arsenal wanaonyesha kandanda safi, city wanaonekana kama sio EPL team
Hii Arsenal tukikutana nayo na hizi back passes zetu watatumaliza kabisa
It is an attacking minded team, wote kabisa wanawaza tu kushambulia na wakosharp, clinicla na ball control ya hali ya juu
Arsenal wanacheza vizur hadi siamini city wanaweza kupotea kiasi hiki.sasa hii ndio nafasi ya kupunguza gap kati yetu na man city.....!

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom