Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Katika kocha wa kuogopwa epl na TT yupo ? ,Umeshindwa kumfunga Brighton then muogopwe ....Bado Moyo unaenda Kasi Kwan mnaenda kukutana na klop ,hivi nyie mko sawa kweli ....Wapinzani mnaomba tumfukuze kocha sababu mnamuogopa [emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]
TT kaishiwa mbinu , confidence imepotea Hana uwezo Tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]