Pulisic, Odoi, Ziyech, Cheek, Barkey, Alonso waondolewe kikosini wanatupotezea muda tuu. Hawa wachezaji ukiwapeleka pale city hawapati nafasi kikosini hata ikifanyika rotation.
City anafanya vizuri kwa sababu ana kikosi kipana chenye wachezaji wenye uwezo mkubwa unaokaribiana.
Sisi hapa 1st eleven yenyewe matakataka mengi huko kwenye benchi ndio hamna kitu.
Tuache kusifia ujinga the BLUES wachezaji wengi ni wa kawaida sana.
Huyo MOUNT tunayemsifia ni wa kawaida sana sioni anachofanya uwanjani zaidi ya kukimbia kimbia tuu uwanjani.
Sawa majeruhi wapo lakini pia wachezaji wetu wana uwezo wa kawaida sana.