Kosi la dunia linakatikia mirinda nyeusi, hahahaha ........Kosi kama kosi, njooni muone style mpya ya uchezaji chini ya Profesa Sir Ralf Rangnick.View attachment 2059763
Chelsea walimtindua ubongoWe jamaa huwa unahangaika sana. Huwa una pandikizi chuki za kijinga kichwani mwako. Toka Chelsea achukue uefa mbele yako umekuwa na chuki sana
SO SAD, MUNGU YUPOHabari mbaya, ni kwamba tutamkosa ben chilwel katika kipindi chote cha msim kilichosalia hii ni baada ya kufanyiwa vipimo na kuoneshabkuwa atahitajika kufanyiwa upasuaji katika siku chache zijazo
Kuna habari zinasema huenda Chelsea wakamfata Lucas digne WA Everton Kwa mkopo WA miezi 6 ....au kumrudisha Emerson palmieri au kumuita DG WA u23 iaan matsenHabari mbaya, ni kwamba tutamkosa ben chilwel katika kipindi chote cha msim kilichosalia hii ni baada ya kufanyiwa vipimo na kuoneshabkuwa atahitajika kufanyiwa upasuaji katika siku chache zijazo
Plan A , nikusajiliKuna habari zinasema huenda Chelsea wakamfata Lucas digne WA Everton Kwa mkopo WA miezi 6 ....au kumrudisha Emerson palmieri au kumuita DG WA u23 iaan matsen
Bora Lucas digne amewazidi hao premier League experience angetufaa miezi hyo 6Plan A , nikusajili
Digne ndie amehusishwa sana,huku deal lake likiwa la mkopo
Wachezaj wengine waliohusishwa ni sergio dest na tagliafico
Huku plan B ni kumrejesha kati ya emerson au ian matseen



Mimi Sina undugu na Chelsea , Brighton come on .....Acha kuwa kijana mang'aa
mapande yake kwisha duhHabari mbaya, ni kwamba tutamkosa ben chilwel katika kipindi chote cha msim kilichosalia hii ni baada ya kufanyiwa vipimo na kuoneshabkuwa atahitajika kufanyiwa upasuaji katika siku chache zijazo
Mkuuu ww unawaza nini Heshima yako BossNyie mataka taka mnacheza leo nanyie mnawaza ubingwa eti![]()
REECE JAMES INJURY