ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,056
Mbona mnawashwa sana na hii Chelsea.Nyinyi hamna team hapo, na huu msimu kama TUCHELEWE ataendelea kuwa kocha hapo ni lazima mcheze Europa League, sioni namna yoyote ya nyinyi kuwa top four.
Nyee Nyee Nyeee.....tunafungwa kwasababu ya kikosi, haya leo mpo full mnafanya nini?
Mbona Chelsea inawanyima sana usingizi?
Mi nafikiri kila timu ishinde mechi zake.
Mnalala mnamuwaza mume wenu Chelsea




