tuchel tapel patelTuchel ni kihindi.
Kwa kiswahili tapeli.

Aaaaah ww boya ndo unakujaga kujichekesha kwenye jukwaa la wanaumeTuchel amesababisha kwa kiasi kikubwa hii mechi tutoke suluhu, Pulisic toka lini akacheza ile nafasi. Huyu Odoi apigwe benchi akili imkae sawa
Tuko nafasi ya pili na tunamfumua Liverpunga match ijayo. Haya unasemaje?yamejikausha utadhani sio mavuvuzela kwenye nyuzi za wengine