Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Penalti za haki lakini
Odoi kafanyiwa rafu
Lukaku kanyimwa kufunga kwa faulu ya wazi
Aston Vila vs Chelsea
1-3
Point 3 muhimu
Leo hatujabahatisha tangu mechi ya Watsford
Majembe yote yakiwa fit watatukoma hawa
Chalobah leo alikuwa uchochoro alipotolewa tu Villa wakaishiwa mbinu kwa James
 
Sijafurahishwa na hilo goli.

Tunataka magoli ya penati tuu.

Penati chakula chetu nyamnyam
Dah!...ili swala la matuta kwa chelsea ni pie asee 2pens PER GAME....Wht For. #PENACHEL

94318103-552d-49ae-91b6-844eb1ddf9b7.jpg
 
Hivi unaangalia mpira au unafatilia livescore, mpira kama ule kipa anaudaka vipi??
Hata wale pundit waliokuwepo darren bent n hoddle wanasema pale mendy alifaaa afanye save wakaanza kuanalyze hadi kuna chance moja ya watkins wakisema mendy wa mwanzon mwa msim angekuwa ashatoka golin.
 
Kwann Chelsea amecheza mechi ya marudiano dhidi ya Aston Villa wakati bado mzunguko wa kwanza hajamaliza
Hata wale pundit waliokuwepo darren bent n hoddle wanasema pale mendy alifaaa afanye save wakaanza kuanalyze hadi kuna chance moja ya watkins wakisema mendy wa mwanzon mwa msim angekuwa ashatoka golin.
 
Kuna vitu odoi inabidi ajifunze kutoka kwa SAKA ,bila hivyo ataendelea Julia kwanini haitwi kwenye timu ya taifa
 
Tunataka magoli ya penati tuu.

Penati chakula chetu nyamnyam
Kwahiyo mkuu Chelsea akifanyiwa faul golini unataka asipewe penalty. Mbona jana man City kafunga goli sita Leicester na penalties 2 zake ni za halal?

Mbona mnawashwa sana na hii Chelsea. Kwani Chelsea amewakataza msishinde au msipewe penalties? Kwann usiache kila timu ipambane na hali yake?

Mbona Chelsea inawanyima sana usingizi?

Mi nafikiri kila timu ishinde mechi zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom