Unachezaje counter attacks wakati timu nyingi zikikutana na nyie zinacheza low block..... Hiyo nafasi kubwa kwa ajili ya Lukaku na Werner ku attack inatoka wapi. Pengine useme, TT awe na alternatives(including counter attacks).
Otherwise TT kaupiga mwingi mnoo, Yaani mna dominate(control) mechi vizuri kabisa tena with high energy and intensity,, sa ivi mnataka mambo ya kaunta[emoji28][emoji28][emoji119][emoji119]
Tuulize sisi tuliochoshwa na counter Uchwara za bwana Solskjaer
Ila kwa Lukaku mumepigwa[emoji28][emoji28][emoji28]