Hivi unaangalia mpira au unafatilia livescore, mpira kama ule kipa anaudaka vipi??Mendy karuhusu goli la kijinga na vado kuna mkereketwa hapa atadai akitoka Salah Mendy ndio no. 2 kwa ubora EPL
Errors za kipumbavu kama hizi ndio zitatufanya kuwa Bingwa.
Mendy hayuko fit kipindi hiki
kwa kuupiga ngumi sio kila mpira ni wa kudakaHivi unaangalia mpira au unafatilia livescore, mpira kama ule kipa anaudaka vipi??
Mimi ndio nikuulize wewe, deflection simple kama ile kwell una gats za kuniuliza hivyo Franky. Cheki replay kabla hujafoka ndgHivi unaangalia mpira au unafatilia livescore, mpira kama ule kipa anaudaka vipi??