Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Lukaku sio takataka, tunatakiwa tubadilishe style ya uchezaji tuachane na pass fupi fupi kuelekea lango la mpinzani, tunaingia kwenye box tukiwa Lundo.

Tucheze style kama ya Conte 3-4-3 ya counter attacks ndio chakula cha Lukaku & Werner

Werner & Lukaku hawawezi kushambulia kwenye space ndogo, wanahitaji space kubwa kushambulia kwa kasi.

Na uhakika TT akihamia kwenye counter attacks tutashinda mechi kirahisi sana. Tofauti na sasa wapinzani wetu wameshatusoma tunacheza mwendo wa konokono.

Jognho, Harvetz, Alonso mwendo wa konokono
Mbali na counter hata mentality ya attacking haipo sasa hivi. Unamtegemea Alonso akipata mpira yuko radhi apige chenga nyingi ili tu amtafute Rudiger badala ya kusaka mbuga kwenda mbele golini kama anavyofanya Chilwell au James
Tuna wachezaji wengi wazuri sana kwenye back passes lakini penetration passes wako wachache na wengi wao ni mabeki akiongozwa na Rudiger. Katikati Kante na Kovacic, ugonjwa wa kocha uko hapo. akienda majeruhi Kova, Kante inabaki Chelsea ya back passes
 
Humu ndani sikuhizi adabu ime patikana, hakuna cha fyoko, wala nyoko, wote chupi chini.
Tuliwaambia ubingwa sio lelemama, leo mumeamini.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mitoto inayobet ilivyo na hasira. Inajificha kwenye kivuli cha ubingwa next year tafuta kazi achana na kubet itakusaidia kufurahia soccer na kupunguza makasiriko
 
Mbali na counter hata mentality ya attacking haipo sasa hivi. Unamtegemea Alonso akipata mpira yuko radhi apige chenga nyingi ili tu amtafute Rudiger badala ya kusaka mbuga kwenda mbele golini kama anavyofanya Chilwell au James
Tuna wachezaji wengi wazuri sana kwenye back passes lakini penetration passes wako wachache na wengi wao ni mabeki akiongozwa na Rudiger. Katikati Kante na Kovacic, ugonjwa wa kocha uko hapo. akienda majeruhi Kova, Kante inabaki Chelsea ya back passes
Hizi nondo natamani TT azione aisee....tukiwatumia kina Werner n Lukaku Kwa counter attacks km Conte anavyoitumia Kwa spurs watu wangeoga magoli sana
 
Actually umekubaliana na mimi kwamba huo mwaka ndiyo hivi vinabo vilikubaliana kucheza mpira.

Upo sahihi kwamba hatujafanya soka la uwekezaji badala yake tukatumia self sustaining model, timu nyingine iliyotumia hii model na kugundua kumbe haifai ni Liva.

Hii model imetusaidia tusiingie madeni kama nyinyi na Barca, tuwe na uwanja wetu, hivi chelsea mna uwanja? Pia tuwe miongoni mwa klabu inayozalisha faida.

Hivyo haupo sahihi kwamba Arsenal na maskini.

Haupo sahihi kwamba sisi ni vibonde. Tuna trophies kuzidi klabu zote za London.

Haupo sahihi kwamba tuna kelele. Wenye kelele mpo.

Uko 50/ 50 kwamba Man six watatuwahi kubeba CL.

Anyway, self sustaining model inaanza kupewa mgongo hapa Arsenal.

Observe.
Basi usituletee kelele humu
 
Kwahyo majeruhi wenu tayari wamerudi wote au kuna ambao bado?.
Vp game ya kesho kisingizio hakitakuwa majeruhi tena?
 
Actually umekubaliana na mimi kwamba huo mwaka ndiyo hivi vinabo vilikubaliana kucheza mpira.

Upo sahihi kwamba hatujafanya soka la uwekezaji badala yake tukatumia self sustaining model, timu nyingine iliyotumia hii model na kugundua kumbe haifai ni Liva.

Hii model imetusaidia tusiingie madeni kama nyinyi na Barca, tuwe na uwanja wetu, hivi chelsea mna uwanja? Pia tuwe miongoni mwa klabu inayozalisha faida.

Hivyo haupo sahihi kwamba Arsenal na maskini.

Haupo sahihi kwamba sisi ni vibonde. Tuna trophies kuzidi klabu zote za London.

Haupo sahihi kwamba tuna kelele. Wenye kelele mpo.

Uko 50/ 50 kwamba Man six watatuwahi kubeba CL.

Anyway, self sustaining model inaanza kupewa mgongo hapa Arsenal.

Observe.
Kama wewe ni shabiki wa arsenal lazima uwe na hizo stress..
Sasa huu mida unakuja kuandika huku kwenye thread ya chelsea ungeutumia kule kwa thread ya asenane uwaeleze hiyo self sustaining model yenu inavyofanya kazi na inavyowasaidia nyie mashabiki vishoiya?
 
We kinabo hauoni kama kuna plastic mwenzako ameuliza?
 
Lukaku sio takataka, tunatakiwa tubadilishe style ya uchezaji tuachane na pass fupi fupi kuelekea lango la mpinzani, tunaingia kwenye box tukiwa Lundo.

Tucheze style kama ya Conte 3-4-3 ya counter attacks ndio chakula cha Lukaku & Werner

Werner & Lukaku hawawezi kushambulia kwenye space ndogo, wanahitaji space kubwa kushambulia kwa kasi.

Na uhakika TT akihamia kwenye counter attacks tutashinda mechi kirahisi sana. Tofauti na sasa wapinzani wetu wameshatusoma tunacheza mwendo wa konokono.

Jognho, Harvetz, Alonso mwendo wa konokono
Unachezaje counter attacks wakati timu nyingi zikikutana na nyie zinacheza low block..... Hiyo nafasi kubwa kwa ajili ya Lukaku na Werner ku attack inatoka wapi. Pengine useme, TT awe na alternatives(including counter attacks).
Otherwise TT kaupiga mwingi mnoo, Yaani mna dominate(control) mechi vizuri kabisa tena with high energy and intensity,, sa ivi mnataka mambo ya kaunta😅😅🙌🙌
Tuulize sisi tuliochoshwa na counter Uchwara za bwana Solskjaer

Ila kwa Lukaku mumepigwa😅😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom