Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kadri ninavyojua chelsea haikai na kocha mmoja kwa muda mkubwa hivyo ni ngumu kuipenda chelsea kwa kigezo cha mpira unaochezwa kwakua kila kocha akija anaanzisha falsafa mpya.
Kwa kuwa na wewe ni post 2003 hilo huwezi kulielewa. Liache tu!
Also chelsea haina identity yao ya kiuchezaji mfano Barca tunajua wanacheza tiki taka, united long balls ila chelsea kocha aliyepo ataamua sasa hivi tunaendaje ili tushinde.
Timu zote kocha na aina ya wachezaji ndio huamua. Real Madrid ya Vicente del Bosque sio sawa na ya leo. Barca ya akina Mac Overmars sio sawa na akina Messi au ya leo. Manchester ya kina Dwight York na Andy Cole haifanani kabisa na hii ya mabishoo akina Pogba na Pernandez.

Hata Arsenal ya akina Thiery, Vieira, na Bergakamp sio hii ya akina Lacazette!
 
Kwa kuwa na wewe ni post 2003 hilo huwezi kulielewa. Liache tu!

Timu zote kocha na aina ya wachezaji ndio huamua. Real Madrid ya Vicente del Bosque sio sawa na ya leo. Barca ya akina Mac Overmars sio sawa na akina Messi au ya leo. Manchester ya kina Dwight York na Andy Cole haifanani kabisa na hii ya mabishoo akina Pogba na Pernandez.

Hata Arsenal ya akina Thiery, Vieira, na Bergakamp sio hii ya akina Lacazette!
Tangu enzi za Cruyf Barca inajulikana kwamba itacheza mpira kwa mtindo wa kupossess na kushambulia na kulinda pamoja.

Koeman alipoanza 3 4 2 1 mashabiki wakamcriticise.

Arsenal ilipochukuliwa na Wenger mpira uliochezwa ni wa possession na kushambulia at one point Mou alisemwa ataondoka kwakua mpira wake hauvutii. makocha wa baada ya Wenger walikua criticised kwa kuifanya Arsenal isicheze kwa identity yake.

Wewe upo hapa unapinga kwamba timu hazina identity kiuchezaji.
 
Still can’t believe we had 5 players in the top 30 of the Ballon d’or this year.

20211225_055223.jpg
 
Tangu enzi za Cruyf Barca inajulikana kwamba itacheza mpira kwa mtindo wa kupossess na kushambulia na kulinda pamoja.

Koeman alipoanza 3 4 2 1 mashabiki wakamcriticise.

Arsenal ilipochukuliwa na Wenger mpira uliochezwa ni wa possession na kushambulia at one point Mou alisemwa ataondoka kwakua mpira wake hauvutii. makocha wa baada ya Wenger walikua criticised kwa kuifanya Arsenal isicheze kwa identity yake.

Wewe upo hapa unapinga kwamba timu hazina identity kiuchezaji.
Wewe usilazimishe identity kama unahitaji timu ya identity nenda huko kaishabikie.
Chelsea fans wanahitaji furaha kupitia kufika final na kushinda na kubeba kombe... Hiki ndo tunachohitaji ndo amani yetu ya moyo..ubingwa.
Na kocha yeyote anayekuja kufundisha hii timu analitambua hilo mapema.
Kama huhitaji identity Chelsea ndo CLUB OF THE YEAR 2021

Hata sijaandika matusi nashindwa elewa imekuaje umeanza na mguu huu. Mambo ya ukoo tena?
Kwa sababu unaandika kama mtoto.
CHELSEA TUNA PHILOSOPHY MOJA TU NA YENYEWE NI UBINGWA.
KOCHA ATAKUJA NA PHILOSOPHY YAKE NA WACHEZAJI WATA ADAPT NA ATATUPATIA VIKOMBE.

wewe ukihitaji identity
Mtaalam wetu wakutuletea manager kwa ushirikiano na club board huwa wana research
Managerial philosophy na hii ndo itampa nafasi manager kufundisha hii ckub bora zaidi kwa mwaka huu wa 2021CHELSEA FOOTBALL CLUB

na nikufundishe sasa hii ndo managerial tactical philosophy ya T.TUCHEL "TACTICAL MAGICIAN"

UKIITIZAMA CHELSEA TUNACHEZA MODERN FOOTBALL AMBAYO HAKUNA TIMU YOYOTE CHINI YA JUA HILI WANAICHEZA
FORMATION NI 3421
GOLINI YUPO EDUARD MENDY (SWEEPER GOALKEEPER-Ni aina ya magolikipa ambao wanaplay key rule wakati wa kufanya build up) huyu ni best UEFA GOALKEEPER OF THE YEAR AKIWA AMERUHUSU MAGOAL 3 TU MICHUANO ILIYOISHA YA UEFA AKIWA NA CLEANSHEET MATCH YA FINAL.

KWENYE ULINZI
tunatumia mabeki wa tatu kwa mpangilio huu:

ANTONY RUDIGER LEFT CENTRAL BACK (LCB) huyu mwamba anacheza kama mlinzi wa kushoto wa kati. Wakati wa match ni dynamic kuna muda atakuwa LEFT BACK NA KUNA MUDA atacheza kama LEFT WING BACK. Rudiger ana fit sana hapa kwa sababu akiwa roma alikuwa ana cheza kama LEFT BACK na pia ana speed kubwa.

THIAGO SILVA (CENTRAL CENTRAL BACK) Huyu mwamba anafit sana hii sehemu kwa sababu ana akili nyingi na ni mzoefu wa kutosha.
TREVOR CHALOBAH (RIGHT CENTRAL BACK) huyu ni dogo ni product ya academy ya Chelsea so kama ni club philosophy (UBINGWA) ndo imemkuza tokea akiwa mdogo. natural position yake ni DEFENSE MIDFIELDER ILA kwa sababu ya ugumu wa kupata namba akapambana akapata nafasi ya kucheza hapo. Huyu dogo kwa upande wa kulia kuna muda anabadilika anacheza kama RB au RWB.
Msimu huu tayari ana kombe moja UEFA SUPER CUP AKIWA NA GOLI MBILI ZA EPL.

MIDFIELD
Kwenye eneo hili tuna wachezaji wa nne
CHILWEL LEFT WING BACK
HUYU ANACHEZA KAMA BEKI WAKATI WA KUZUIA NA KUSHAMBULIA NACHEZA KAMA LEFT WINGER NDO MAANA MSIMU HUU ANA GOLI TATU NA ASSIST 4. YUKO FASTA SANA KUFIKA KATIKA LANGO LA WA WAPINZANI.

JORGINHO (DEFENSIVE MIDFIELDER) HUYU NI MCHEZAJI BORA WA ULAYA 2021. huyu ndo moyo wa timu ana uwezo wa hali ya juu katika holding na ndo huwa anatumika katika kupunguza pressure na kufanya build up kwa uhakika. Huyu ni kama chumvi haonekani lakini akikosekana inaonekana tume miss kitu katikati ya dimba.
NGOLO KANTE (CENTRAL MIDFIELDER) Huyu mwamba yupo kila sehemu uwanjani. Ni complete midfielder. Anakupa kila kitu unachohitaji kuanzia kukaba, dribbling, defence. Usishangae msimu ulioisha match mbili za real madrid alichukua man of the match kwenye timu yenye Kross, Casemiro na modric. UEFA walimpa best midfielder of the year 2021. Haishangazi FIFA 22 kumpa 90 rating.
Reece james (LEFT WING BACK) Hii ni product ya Cobham academy kama ni philosophy ya club anaielewa vyema. Huyu mwamba anafanya anachofanya chilwel ila yeye ni upande huu wa kulia. Ana goli nne na assist 5 msimu huu. Anakila kitu tunachohitaji nguvu, tackling,akili na prowess Attacking ya hali ya juu. licha ya kumpata bure ana thamani ya paundi millioni 55.

FOWARD
HAPA tuna option nyingi sana tuchel hutumia double AM:
Mason Mount (Attacking midfielder) HUYU DOGO HAISHANGAZI MSIMU HUU NDO MFUNGAJI BORA WA CHELSEA ANA GOAL 8 NA ASSIST ZA KUTOSHA. ANABEBWA NA AKILI NYINGI NA UWEZO MKUBWA WA KUSAIDIA KIUNGO WAKATI WA BUILD UP. HII PIA NI PRODUCT YA CHELSEA ACADEMY. HUYU NDO MRITHI WA KITI CHA UFALME CHA FRANK LAMPARD NEW LEGEND. ANA THAMAN YA PAUNDI MILLION 75.
Kai harvetz (Attack midfielder) huyu ndo alifunga goal la ushindi final vs man city. Ni moja ya European wonderkid. Huyu dogo anakupa kila kitu unahitaji pale mbele. Haishangazi Fifa 22 walimpa rating ya 84.

ROMEU LUKAKU BOLINGOLI (FALSE 9) 100+ MILLION USD HUYU MKONGO MWENYE URAIA PACHA BELGIUM NDO ANASIMAMA PALE MBELE. MZIKI WAKE UNAELEWEKA VYEMA AKIWA MZIMA.

SUB
KOVACIC
WERNER
PULISIC
ZIYECH
ODOI
RLC
AZP
KEPA

DEFENSIVE INSTRUCTION TUNATUMIA "GEGENPRESS"
WAKATI WA KUDEFENSE FORMATION HUCHANGE NA KUWA 541
Wakati wa ku attack tuna switch kwenda kuwa 135.

reference
 
To be fair sijaelewa kwanini umeandika maelezo marefu hivi.

Stefano Mtangoo huyu sasa ndiyo typical shabiki wa chelsea anawawakilisha vyema, he can't see past winning, hiki alichoniandikia na mimi nilichoandika ni ishu 2 tofauti.

Sasa bwana mike2k inakuaje tactical magician ameshindwa kufaidika na Werner? Na kabla hilo vumbi halijatulia amekuja Lukaku lakini na yeye anaelekea kule alipo Werner.

Shida iko kwa hao wachezaji au kwa kocha?
 
Tangu enzi za Cruyf Barca inajulikana kwamba itacheza mpira kwa mtindo wa kupossess na kushambulia na kulinda pamoja.

Koeman alipoanza 3 4 2 1 mashabiki wakamcriticise.

Arsenal ilipochukuliwa na Wenger mpira uliochezwa ni wa possession na kushambulia at one point Mou alisemwa ataondoka kwakua mpira wake hauvutii. makocha wa baada ya Wenger walikua criticised kwa kuifanya Arsenal isicheze kwa identity yake.

Wewe upo hapa unapinga kwamba timu hazina identity kiuchezaji.
Anyway, leo ni family day!
Merry Christmas! Enjoy the day...!
 
Haya kalaghabaho! Naona una tatizo la kuelewa.
Kama ningependa Winning team Manchester was supposed to be that tea, not Chelsea.
May be am talking to a robot, maana binadamu angeshaelewa. Au labda ni mtoto who cannot understand kwamba pre 2003 watu walikuwa na timu zao, na hazikuwa hizo winning! Kizazi cha BRN ni vigumu kuelewa hili.

BTW kuna jamaa zangu kadhaa die hard New castle Utd, nasubiri ikianza kufanya vizuri 2022+ useme hawakuwa wapenzi wa NCU
sasa hapo Kalaghabaho na Kizazi cha BRN, kumeingiaje katika hoja ya Castr maana bujajibu hoja zaidi ya kutoa mipasho.
 
Kwa sababu unaandika kama mtoto.
CHELSEA TUNA PHILOSOPHY MOJA TU NA YENYEWE NI UBINGWA.
KOCHA ATAKUJA NA PHILOSOPHY YAKE NA WACHEZAJI WATA ADAPT NA ATATUPATIA VIKOMBE.

wewe ukihitaji identity
Mtaalam wetu wakutuletea manager kwa ushirikiano na club board huwa wana research
Managerial philosophy na hii ndo itampa nafasi manager kufundisha hii ckub bora zaidi kwa mwaka huu wa 2021CHELSEA FOOTBALL CLUB

na nikufundishe sasa hii ndo managerial tactical philosophy ya T.TUCHEL "TACTICAL MAGICIAN"

UKIITIZAMA CHELSEA TUNACHEZA MODERN FOOTBALL AMBAYO HAKUNA TIMU YOYOTE CHINI YA JUA HILI WANAICHEZA
FORMATION NI 3421
GOLINI YUPO EDUARD MENDY (SWEEPER GOALKEEPER-Ni aina ya magolikipa ambao wanaplay key rule wakati wa kufanya build up) huyu ni best UEFA GOALKEEPER OF THE YEAR AKIWA AMERUHUSU MAGOAL 3 TU MICHUANO ILIYOISHA YA UEFA AKIWA NA CLEANSHEET MATCH YA FINAL.

KWENYE ULINZI
tunatumia mabeki wa tatu kwa mpangilio huu:

ANTONY RUDIGER LEFT CENTRAL BACK (LCB) huyu mwamba anacheza kama mlinzi wa kushoto wa kati. Wakati wa match ni dynamic kuna muda atakuwa LEFT BACK NA KUNA MUDA atacheza kama LEFT WING BACK. Rudiger ana fit sana hapa kwa sababu akiwa roma alikuwa ana cheza kama LEFT BACK na pia ana speed kubwa.

THIAGO SILVA (CENTRAL CENTRAL BACK) Huyu mwamba anafit sana hii sehemu kwa sababu ana akili nyingi na ni mzoefu wa kutosha.
TREVOR CHALOBAH (RIGHT CENTRAL BACK) huyu ni dogo ni product ya academy ya Chelsea so kama ni club philosophy (UBINGWA) ndo imemkuza tokea akiwa mdogo. natural position yake ni DEFENSE MIDFIELDER ILA kwa sababu ya ugumu wa kupata namba akapambana akapata nafasi ya kucheza hapo. Huyu dogo kwa upande wa kulia kuna muda anabadilika anacheza kama RB au RWB.
Msimu huu tayari ana kombe moja UEFA SUPER CUP AKIWA NA GOLI MBILI ZA EPL.

MIDFIELD
Kwenye eneo hili tuna wachezaji wa nne
CHILWEL LEFT WING BACK
HUYU ANACHEZA KAMA BEKI WAKATI WA KUZUIA NA KUSHAMBULIA NACHEZA KAMA LEFT WINGER NDO MAANA MSIMU HUU ANA GOLI TATU NA ASSIST 4. YUKO FASTA SANA KUFIKA KATIKA LANGO LA WA WAPINZANI.

JORGINHO (DEFENSIVE MIDFIELDER) HUYU NI MCHEZAJI BORA WA ULAYA 2021. huyu ndo moyo wa timu ana uwezo wa hali ya juu katika holding na ndo huwa anatumika katika kupunguza pressure na kufanya build up kwa uhakika. Huyu ni kama chumvi haonekani lakini akikosekana inaonekana tume miss kitu katikati ya dimba.
NGOLO KANTE (CENTRAL MIDFIELDER) Huyu mwamba yupo kila sehemu uwanjani. Ni complete midfielder. Anakupa kila kitu unachohitaji kuanzia kukaba, dribbling, defence. Usishangae msimu ulioisha match mbili za real madrid alichukua man of the match kwenye timu yenye Kross, Casemiro na modric. UEFA walimpa best midfielder of the year 2021. Haishangazi FIFA 22 kumpa 90 rating.
Reece james (LEFT WING BACK) Hii ni product ya Cobham academy kama ni philosophy ya club anaielewa vyema. Huyu mwamba anafanya anachofanya chilwel ila yeye ni upande huu wa kulia. Ana goli nne na assist 5 msimu huu. Anakila kitu tunachohitaji nguvu, tackling,akili na prowess Attacking ya hali ya juu. licha ya kumpata bure ana thamani ya paundi millioni 55.

FOWARD
HAPA tuna option nyingi sana tuchel hutumia double AM:
Mason Mount (Attacking midfielder) HUYU DOGO HAISHANGAZI MSIMU HUU NDO MFUNGAJI BORA WA CHELSEA ANA GOAL 8 NA ASSIST ZA KUTOSHA. ANABEBWA NA AKILI NYINGI NA UWEZO MKUBWA WA KUSAIDIA KIUNGO WAKATI WA BUILD UP. HII PIA NI PRODUCT YA CHELSEA ACADEMY. HUYU NDO MRITHI WA KITI CHA UFALME CHA FRANK LAMPARD NEW LEGEND. ANA THAMAN YA PAUNDI MILLION 75.
Kai harvetz (Attack midfielder) huyu ndo alifunga goal la ushindi final vs man city. Ni moja ya European wonderkid. Huyu dogo anakupa kila kitu unahitaji pale mbele. Haishangazi Fifa 22 walimpa rating ya 84.

ROMEU LUKAKU BOLINGOLI (FALSE 9) 100+ MILLION USD HUYU MKONGO MWENYE URAIA PACHA BELGIUM NDO ANASIMAMA PALE MBELE. MZIKI WAKE UNAELEWEKA VYEMA AKIWA MZIMA.

SUB
KOVACIC
WERNER
PULISIC
ZIYECH
ODOI
RLC
AZP
KEPA

DEFENSIVE INSTRUCTION TUNATUMIA "GEGENPRESS"
WAKATI WA KUDEFENSE FORMATION HUCHANGE NA KUWA 541
Wakati wa ku attack tuna switch kwenda kuwa 135.

reference
Umetisha mkuu.... .mtu anakuja na wivu wake huko anatuambia habari za identity cjui viwanja [emoji16]
 
Merry christmass mkuu...mpaka mnamaliza january mtakuwa nafasi ya 4....man u tutakuwa juu yenu.
Hii man u ya kushinda Kwa tabu hv huku de gea akiwaokoa[emoji23]....mkuu shukuruni mechi ya Brentford ilihailishwa kwasababu y Corona Ila Ile game mngecheza mlikuwa mnafungwa
 
Sisi tunashinda kwa tabu nyie hata kufunga kwa tabu hamuwezi....ngojeni game ya kesho
 
To be fair sijaelewa kwanini umeandika maelezo marefu hivi.

Stefano Mtangoo huyu sasa ndiyo typical shabiki wa chelsea anawawakilisha vyema, he can't see past winning, hiki alichoniandikia na mimi nilichoandika ni ishu 2 tofauti.

Sasa bwana mike2k inakuaje tactical magician ameshindwa kufaidika na Werner? Na kabla hilo vumbi halijatulia amekuja Lukaku lakini na yeye anaelekea kule alipo Werner.

Shida iko kwa hao wachezaji au kwa kocha?
Shida ipo kwako wewe bwana shida.
Hiyo shida ipo katika kichwa chako.
Hakuna mchezaji wa chelsea mwenye shida kwa sasa! Wanapata kila wanachohitaji mishahara minono na vikombe
Hakuna shabiki wa Chelsea mwenye shida! Tunapata tunachohitaji! vikombe

Werner ndo top goal scorer wa Tuchel era.

Hii timu ina amani hizo shida zipo kwako tu ndugu.

Nkutakie merry Christmas kijana angu 🤗🌲☃️

20211225_125911.jpg
 
Sisi tunashinda kwa tabu nyie hata kufunga kwa tabu hamuwezi....ngojeni game ya kesho
Kama walishindwa kutufunga mara kibao tukiwa hatuna chilwell, kovacic, kante, na kina Werner mpk tunawachezesha Saul as false9 na hatujafungwa .sahv wamerudi sahauni kabisa
 
To be fair sijaelewa kwanini umeandika maelezo marefu hivi.

Stefano Mtangoo huyu sasa ndiyo typical shabiki wa chelsea anawawakilisha vyema, he can't see past winning, hiki alichoniandikia na mimi nilichoandika ni ishu 2 tofauti.

Sasa bwana mike2k inakuaje tactical magician ameshindwa kufaidika na Werner? Na kabla hilo vumbi halijatulia amekuja Lukaku lakini na yeye anaelekea kule alipo Werner.

Shida iko kwa hao wachezaji au kwa kocha?
Kama shida iko kwa kocha wewe inakuhusu nini wakati nanyi mna mizigo yenu huko. Kula pilipili ukalale,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom