Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu la kifala Sana .....

Hakuna timu la kiboya kama Chelsea ,zero brain kabisa
 
Hivi tukipanga makundi timu zenye uropean cups kundi lake na ambazo hazina kundi lake, we utakaa kundi gani?

Utakaa na timu zipi!

Hebu jichagulie mwenyewe.
 
Hongereni THE BLUES kwa ushindi wa jana, vijana wa academy wamecheza vizuri sana.

Nusu fainali tunaenda kukutana na CONTE baba wa mfumo wa 3-4-3.

Urejeo wa KANTE & KOVACIC uwanjani, kikosi chetu kitarudi kwenye ubora wake.

Nadhani TT abadili style ya uchezaji wa mfumo wa sasa 3-4-3, tuhame kwenye style ya kushambualia kwenye space ndogo ndogo, twende kwenye kushambulia kwa counter attacks.

Tunao wachezaji wa counter attacks wenye kasi na nguvu Werner, Lukaku, Ziyech, Mount, Pulisic

Kwa ushambualiaji wa sasa wa slow motion kwenye space ndogo ndogo kuna pelekea wapizani wetu kupaki basi na kujazana lundo kwenye lango la mpinzani hapo uhaba wa kupata magoli utazidi kutusumbua.

Juzi nimeangalia mechi ya Liver na Tote, zile counter attacks za tote pale mbele ukimweka Lukaku atafunga magoli mengi sana. Ndio style anayopenda kushambulia, nguvu na kasi kwenye space kubwa.
Kante katoka majeruhi anaanzia pale alipoishia kwa ubora wake, james na Kante waliifanya Chelsea iwe agressive kule mbele, wasingeingia hao, academy pamoja na kucheza vizuri waliishiwa mbinu ya kulenga golini.
Pia naona Chalobah akirudi kwenye ubora wake
Alonso is not ana attacking wing-back, yeye akipata mpira ni nyuma tu akili yake yote ipo tofauti na james na chilwell
Kepa ukiondoa udhaifu wake wa kuzuia mashuti ya mbali, ni best GK
 
Hongereni THE BLUES kwa ushindi wa jana, vijana wa academy wamecheza vizuri sana.

Nusu fainali tunaenda kukutana na CONTE baba wa mfumo wa 3-4-3.

Urejeo wa KANTE & KOVACIC uwanjani, kikosi chetu kitarudi kwenye ubora wake.

Nadhani TT abadili style ya uchezaji wa mfumo wa sasa 3-4-3, tuhame kwenye style ya kushambualia kwenye space ndogo ndogo, twende kwenye kushambulia kwa counter attacks.

Tunao wachezaji wa counter attacks wenye kasi na nguvu Werner, Lukaku, Ziyech, Mount, Pulisic

Kwa ushambualiaji wa sasa wa slow motion kwenye space ndogo ndogo kuna pelekea wapizani wetu kupaki basi na kujazana lundo kwenye lango la mpinzani hapo uhaba wa kupata magoli utazidi kutusumbua.

Juzi nimeangalia mechi ya Liver na Tote, zile counter attacks za tote pale mbele ukimweka Lukaku atafunga magoli mengi sana. Ndio style anayopenda kushambulia, nguvu na kasi kwenye space kubwa.
Mkuu hapo mkwenye counter za conte umenena, TT anachokosa ni hiyo hasa kwa Lukaku
Lukaku anakuwa mfungaji mzuri kwenye open play isiyohitaji dribling
Nimecheki pia mechi na Liverpool, Spurs was the better team na Conte anajua kuwatumia Kane na Son na hata Moura vizuri sana kwa mashambulizi ya kasi kule mbele
 
Kwa hiyo unanipangia? Kipindi hicho JT was nobody! Tulikuwa na Marceily Desaily na Frank Leabouf pale kati.
Sikupangii. Hiyo ni fact.

JT nimemtaja kukuonyesha hata hao wakazi wa eneo ilipo timu ya Chelsea they fell in love na klabu zingine. Chelsea became an option kuanzia 2003
 
Sikupangii. Hiyo ni fact.

JT nimemtaja kukuonyesha hata hao wakazi wa eneo ilipo timu ya Chelsea they fell in love na klabu zingine.
Yes that was their choice. I have mine!
Chelsea became an option kuanzia 2003
Option to who? It was a choice to me pre 2003 when their best position was below 4, was something like 6.
Get it, swallow it and get over it. Not everybody chooses a team because it wins!
 
Yes that was their choice. I have mine!

Option to who? It was a choice to me pre 2003 when their best position was below 4, was something like 6.
Get it, swallow it and get over it. Not everybody chooses a team because it wins!
Chelsea, City, Bayern, PSG, Barcelona and sooner Newcastle are chosen because they win
 
Haya kalaghabaho! Naona una tatizo la kuelewa.
Kama ningependa Winning team Manchester was supposed to be that tea, not Chelsea.
May be am talking to a robot, maana binadamu angeshaelewa. Au labda ni mtoto who cannot understand kwamba pre 2003 watu walikuwa na timu zao, na hazikuwa hizo winning! Kizazi cha BRN ni vigumu kuelewa hili.

BTW kuna jamaa zangu kadhaa die hard New castle Utd, nasubiri ikianza kufanya vizuri 2022+ useme hawakuwa wapenzi wa NCU
 
Mashabiki wa timu zingine wanakuja kutolea stress hapa na kutaka kututoa kwenye reli.

Kinachowasumbua ni wivu tu.

Kuna mwehu mwingine kaanza kuleta story za viwanja. Stamford bridge ni uwanja wa baba yake?

Msimu huu tuko vizuri bado
Match 18 za mwisho tumefungwa match moja tu.

Tunashiriki mashindano 6
UEFA CHAMPION 🏆 TUPO 16 BORA.
CARABAO TUKO NUSU FINAL.
EPL TUKO NAMBA 3
FA TUKO ROUND YA 3
FIFA WORLD CLUB TUPO NUSU FINAL.

UEFA SUPER CUP TUMESHALIBEBA TAYARI.

KWA STYLE HII LAZIMA WAPINZANI WAUMIE SANA ROHO IWAUME KWA MAANA TUNA VINGI AMBAVYO WAPINZANI HAWANA.

BILA KUSAHAU
BEST CLUB OF THE YEAR 2021
NI CHELSEA.

20211224_132842.jpg
 
Haya kalaghabaho! Naona una tatizo la kuelewa.
Kama ningependa Winning team Manchester was supposed to be that tea, not Chelsea.
May be am talking to a robot, maana binadamu angeshaelewa. Au labda ni mtoto who cannot understand kwamba pre 2003 watu walikuwa na timu zao, na hazikuwa hizo winning! Kizazi cha BRN ni vigumu kuelewa hili.

BTW kuna jamaa zangu kadhaa die hard New castle Utd, nasubiri ikianza kufanya vizuri 2022+ useme hawakuwa wapenzi wa NCU
Watu walishabikia Newcastle wakati wa Shearer. Alipoenda zake na ushabiki ukafa.

Mimi nina rafiki mmoja shabiki wa Newcastle.

Wewe usichoelewa nini? Post 2003 ndipo mashabiki wa chelsea wakatokea. Kila anayesema kaanza shabikia chelsea pre 2003 ukimcheki attitude yake when you lose it gives in kwamba actually they hopped on chelsea bandwagon because they are used to winning.
 
Watu walishabikia Newcastle wakati wa Shearer. Alipoenda zake na ushabiki ukafa.
Hao walikuwa wanampenda Shearer. Ila hao mpaka leo ni NCU
Mimi nina rafiki mmoja shabiki wa Newcastle.
Kwa hiyo na huyo NCU ikifikia ilipo CFC leo itabidi um forward sio?
Wewe usichoelewa nini? Post 2003 ndipo mashabiki wa chelsea wakatokea. Kila anayesema kaanza shabikia chelsea pre 2003 ukimcheki attitude yake when you lose it gives in kwamba actually they hopped on chelsea bandwagon because they are used to winning.\
Hao wapo, lakini sio sababu ya kulazimisha kila mtu awe wa hivyo! Wengine tulipenda aina ya mpira na uchezaji. Kipindi kile nadhani hata Leeds ya kina Smith ilikuwa better than Chelsea!
 
Hao walikuwa wanampenda Shearer. Ila hao mpaka leo ni NCU

Kwa hiyo na huyo NCU ikifikia ilipo CFC leo itabidi um forward sio?

Hao wapo, lakini sio sababu ya kulazimisha kila mtu awe wa hivyo! Wengine tulipenda aina ya mpira na uchezaji. Kipindi kile nadhani hata Leeds ya kina Smith ilikuwa better than Chelsea!
Hao 'wapo' ndiyo wamejaa humu.

Kwa kadri ninavyojua chelsea haikai na kocha mmoja kwa muda mkubwa hivyo ni ngumu kuipenda chelsea kwa kigezo cha mpira unaochezwa kwakua kila kocha akija anaanzisha falsafa mpya.

Also chelsea haina identity yao ya kiuchezaji mfano Barca tunajua wanacheza tiki taka, united long balls ila chelsea kocha aliyepo ataamua sasa hivi tunaendaje ili tushinde.
 
Utakufa na pressure
Wewe hiyo identity utaijua wewe na ukoo wenu....
Kocha akija chelsea ajue tunahitaji vikombe..
Tutamlipa mshahara kwa ajili ya kazi ya kutupatia vikombe.
Tutampatia kila mchezaji kwa gharama yoyote ile ili atuletee vikombe FURAHA YETU NI VIKOMBE TU.
Hatuhitaji mbwembwe sisi....
CHELSEA NI TIMU YA KIBINGWA TU....

20210605_155336.jpg
 
View attachment 2056109
Hata sijaandika matusi nashindwa elewa imekuaje umeanza na mguu huu. Mambo ya ukoo tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom