Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hey fella kwa hiyo abadili mbinu apaki naye apaki basi aache mmoja mbele?

Hivi unajua tulikuwa tunacheza na timu zinazipaki basi na bado tulikuwa tunapata matokeo kwa mfumo huohuo?

Nini kimebadilika?

Pulisic alikosa lile goal one to one. Na hapa wa kulaumiwa ni Tuchel?
Usimtete tuchel kisa wewe ni chelsea fan

Chelsea sasa inacheza kama.barca ya enzi za mwisho mwisho kutamba

Pass nyiingi lakina hazina impact hawashambulii mfululizo from wing wanataka penyeza mipira kati na hakuna finisher dizaini messi maana timu ikikupakia basi lazima uwe na forward anaweza penya kwa na mpira kwa mabeki

Je vipi kama chilwel akirudi na timu still inacheza kama hivi

Nakumbia tutafuliliza drawa na kufungwa kwa counter attacks

Mpira unakaa kwa mabeki muda mwigi hakuna cross zinazopigwa sana

Hii staili mimi siikubali tutafeli tu tutake tusitake
 
Mkuu huyo kocha wenu abadilishe mbinu bila hivyo ataishia kupiga pasi na kumiliki mpira tu magoli hapati.

Sasa hivi ni mwendo wa6-3-2 hapo ataiweje hamna uwezo wakupata goli.liverpool na man city wanaelewa

Matokeo ya leo mimi sijashangaa wala siwalaumu.
Hilo ndio swala la msingi
 
Usimtete tuchel kisa wewe ni chelsea fan

Chelsea sasa inacheza kama.barca ya enzi za mwisho mwisho kutamba

Pass nyiingi lakina hazina impact hawashambulii mfululizo from wing wanataka penyeza mipira kati na hakuna finisher dizaini messi maana timu ikikupakia basi lazima uwe na forward anaweza penya kwa na mpira kwa mabeki

Je vipi kama chilwel akirudi na timu still inacheza kama hivi

Nakumbia tutafuliliza drawa na kufungwa kwa counter attacks

Mpira unakaa kwa mabeki muda mwigi hakuna cross zinazopigwa sana

Hii staili mimi siikubali tutafeli tu tutake tusitake
Nimeuliza Pulisic amekosa one to one wa kulaumiwa ni Tuchel?
 
kwa jinsi tot alivyo chaj, nyie ndio mmeshika nafasi za wanaume pale mjiandae kisaikolojia
Sawa, yote maisha. Kushinda ama kushindwa. Kwa wakongwe wa Chelsea enzi za kina Zola, hii mbona issue ya kawaida sana?
Sio wala kitu cha ajabu, japo sijaelewa kelele hizi ni za nini wakati bado ni title contenders?
 
Hey fella kwa hiyo abadili mbinu apaki naye apaki basi aache mmoja mbele?

Hivi unajua tulikuwa tunacheza na timu zinazipaki basi na bado tulikuwa tunapata matokeo kwa mfumo huohuo?

Nini kimebadilika?

Pulisic alikosa lile goal one to one. Na hapa wa kulaumiwa ni Tuchel?

Mkuu mnavyocheza mko slow sana kwa 6-3-2 jamaa wanakuwa tayari 9 wako nyuma,sasa hapo 9 wakiwa nyuma utawalaumu wachezaji wanakosa magoli lakini nafasi utakayopata tayari kuna mtu huwezi kufunga yaani hakuna nafasi ya wazi utafunga kirahisi.labda upige nje.

Kupiga mipira mirefu kama Liverpool walichowafanya
Hao wolves.
Lakini hii unaanza nyuma unampasia kante anageuga anampa James,James na yeye anaangalia amwage maji au atoe pasi katikati?

Sasa huo muda wote wanakuwa washarudi kwenye 6-3-2 hapo huwezi kufunga hapo beki wapo 9.

Mkuu anzakufatilia hiyo kwenye mechi ijayo mpira mnavyo peleka pembeni kutokea katikati jamaa wana wahi kujiset kwenye 6-3-2 na nyinyi mnakuwa hamna haraka.lakini ingekuwa inapigwa mipira mirefu kama vvd yule wa Liverpool anaarakisha mashambulizi.mipira inatakiwa itoke kwa beki mpaka kwa mtu wa mbele sio wa kati .

Nyinyi bado mjabadilika mko slow sana.haiitajiki hapo creativity sijui ya mtu kupiga pasi za mwisho mtu abaki Na golikipa kwakuwa wako wengi hapana,hapo ni kuwahi kufika golini kabla hawaja weka hiyo 6-3-2.

Hizo kona sijui cross nikubahatisha tu wakiwa 9 pale nyuma mipira yote inawakuta wao.na ndio kinachotokea.
 
Match ya chelsea leo umeangalia?
 
Huo ndio mfumo kiboko ya Chelsea na timu zote zinazojifanya zinashambulia,ukicheza nyuma mabeki sita,mbele wanakuwa mabeki wengine wa tatu na mbele kabisa wanakuwa watu wawili.

Hao watu 6 na 3 muda wote wanakuwa nyuma ya huo mpira wa chelsea wanaomiliki maana yake watu 9 wako nyuma ya mpira sasa kama hivyo nyinyi chelsea mko wangapi mbele?. Kufunga ni ngumu.kufunga ni kuwahi kubakia na hao watu 6 tu ndio utafunga bila hiyo me nakuwa wanacheka tu najua mkitoa pale mtapeleka kule kule mtarudisha hapa huku muda unaenda.

Chelsea anaishia kupiga pasi tu na kosa kosa lakini kiualisia hawana ubavu wa kufunga maana wako very slow jamaa wanawahi kujiset kwenye mfumo wao

Hiyo ndio dawa aliyokuja nayo Bruno lage kocha wa wolves na wengine wanafata.

Next mechi ya chelsea ukiangalia angalia chelsea anavyopandisha mashambulizi na wapinzani wanavyokaa hao nyuma ni 6-3-2.
 
Hawezi kukujibu maana amekariri

• Chelsea 23 shots vs Everton
• Chelsea 25 shots vs Burnley
• Chelsea 24 shots vs Man United

Sasa hizo shots zilipigwaje kama pass wanapigiana mabeki?

Tatizo ni moja tu. Forward zetu hazipo clinical. Na hili litasolviwa with time hakuna haja ya wholesale changes
Katika hizo shot unakuta tumemiss atleast 3 big chance kwa uzembe wa wachezaj wetu katik hizo mechi

Tutaishia kusema ubora wa kipa kumbe wachezaj wetu hawako clinical ktk umaliziaji
 
Chelsea mnajiona mna timu mara EPL yenu, lkn kiuhalisia Amna kitu !!!

Hata huyo lukaku arudi hakuna kitu! Jashooo ndoo kumi hakuna goal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msimu uliopota man City hakupigwa 5 na Leicester ?? Vile man City alianza vibaya mkasema hawezi beba kombe mbona alikuja kulibeba?
 
Hawezi kukujibu maana amekariri

• Chelsea 23 shots vs Everton
• Chelsea 25 shots vs Burnley
• Chelsea 24 shots vs Man United

Sasa hizo shots zilipigwaje kama pass wanapigiana mabeki?

Tatizo ni moja tu. Forward zetu hazipo clinical. Na hili litasolviwa with time hakuna haja ya wholesale changes
Lakini pia tuna shida ya kutransform kutoka kushambuliwa kwenda kushambulia tunachukua a lot of passes, mfano city ukipaki basi wakifanikiwa kuwin possession ukiwa unawashambulia wanapiga short and quick passes kabla opponent hajarudisha bus stand
 
Msimu uliopota man City hakupigwa 5 na Leicester ?? Vile man City alianza vibaya mkasema hawezi beba kombe mbona alikuja kulibeba?
Mmmhh ndo kusema akili zimewatoka kiasi hiki, hivi Chelsea ni ya kufananisha na Man City kweli? Potezeni na game ijayo au mpate draw muone kama ubingwa mtauchukua kama city.
 
Wachezaj wananyonga viuno tu ht kagoli kamoja kamewashinda,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom