Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea mnajiona mna timu mara EPL yenu, lkn kiuhalisia Amna kitu !!!

Hata huyo lukaku arudi hakuna kitu! Jashooo ndoo kumi hakuna goal [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Baada ya Saul kuingia angalau tunakaa na mpira
Ngolo Kante anatubeba
Naona Saul ndie anacheza DM na Kante anakuwa mobile kama kawaida yake
Kova kaingia
Mungu tusaidie
Naona Wolve wamechoka

Mkuu huyo kocha wenu abadilishe mbinu bila hivyo ataishia kupiga pasi na kumiliki mpira tu magoli hapati.

Sasa hivi ni mwendo wa6-3-2 hapo ataiweje hamna uwezo wakupata goli.liverpool na man city wanaelewa

Matokeo ya leo mimi sijashangaa wala siwalaumu.
 
ila wakuu lukaku anawakaba sana.....hapress vizuri na lile tatizo lake la kutuliza mipira na kumaintain possession lipo bado....

amepoteza mipira mingi sana kwemye third ya Westham pia hata kupress pia ameshindwa anaenda kupress kwa kujog ili ajivue lawama tu....poleni wazee christmass mnaweza kuwa wa 4 pambaneni
Naomba hii comment yangu isiwe kweli wakuu....poleni sana, ni huruma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom