Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Masuaku Dushwaaaa!![emoji109][emoji109][emoji28]
IMG_20211108_233751.jpg
 
ila wakuu lukaku anawakaba sana.....hapress vizuri na lile tatizo lake la kutuliza mipira na kumaintain possession lipo bado....

amepoteza mipira mingi sana kwemye third ya Westham pia hata kupress pia ameshindwa anaenda kupress kwa kujog ili ajivue lawama tu....poleni wazee christmass mnaweza kuwa wa 4 pambaneni
 
[emoji117] POLENI THE BLUES KWA KUANGUKIA PUA

[emoji117] Tumepoteza round ila hatujapoteza pambano.

[emoji117] Hakuna kukata tamaa, njia ya kubeba kombe haijawahi kuwa rahisi.

#Pride of London
Lukaku alikuwa hapaswi kuingia kwenye hii mechi sababu madogo huwa yanafanya ujinga ujinga mwingi sana wa uchoyo hasa akiwepo Lukaku uwanjani.
 
Uenyekiti wa EPL umeishia rasmi leo kwenye uwanja wa London Stadium, tunaanza upya tukiwa nafasi ya tatu.
Mentality ya wachezaji kwenye ubingwa ulishaisha siku nyingi, kama mechi nne au tano hivi zilizopita tumeponea tu chupuchupu
Hata Silva ameanza kucheza hovyo, Jorginho ndio huyo karibu tunazoea ufyongo wake,
Timu imejaa matakata mengi ya top 4 sio wachezaji wa ubingwa
From RLC, Odoi, Ziyech, Alonso,
Tuombe Mungu majeruhi zetu warudi kabla gap haijawa kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom