Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa sasa Arsenal ni bora kuliko Chelsea
City na Liverpool tusijipime kabisa nao
Tukiendelea kupoteza point kwa mechi mbili zaidi mwezi huu tusahau kabisa EPL title race itakuwa ni two-horse race
Sisi tuwekeze kwenye top 4 na UCL na yale makombe ya mbuzi
Tusitegemee Kante, Chilwell na Kovacic wakaja na kuwa fit na kuleta impact mara moja kwa majeruhi kama yale ya muda mrefu
Matokeo mengine zaidi ya haya ya maelezo yangu ni miujiza tu
Kenge wa darajani naona akili zinaanza kukaa sawa.
Wazee wa kikosi kipana sasa hivi ndio mnaanza kuelewa maana halisi ya kikosi kipana.
 
Hyu lembu sijui huwa anafikiri kutumia miguuu na mpira cjui huwa anaaangalia?
Usiponielewa leo utanuielewa kesho, wacha parapa, Mendy mzuri maeneo mengi, nimehilight udhaifu wake, yeye sio Mungu
 
Everton mbovu tumeachia points, hivi tunategemea point kwa nani? labda mimi ndio sielewi mpira na bado kuna mijitu udhaifu wa Mendy ukianikwa wanakuja juu kama wao ndio wamezaliwa wakijua mpira, shenzi sana
 
Mkuuu majeruhi yametuumiza sana ngola na kovac kuuumia hapo tukatoka mchezoni
Majeruhi ni sababu ndogo sana, BIG Picture ni kwamba tumepoteana. Hao majerhi wanaweza kurudi na fitness ikawachukua tena muda tukaendelea kupoteza points. Mimi nimeshaona vita vyetu sasa imebaki nafasi ya 3 na 4 kwenye EPL ambayo itagombewa na arsenal, spurs na manure na kwa mbali westham. moja inaonekana ni ya city na mbili ya liverpool. Mimi sipendi presure na kisukari wala vidonda vya tumbo. wasiokubali wakati hali inajionyesha ninawasikitikia sana.
 
Na wengi humu wako hvyo,ukiangalia man city,bayern,liverpool,kuna muda wanabanwa na viteam vidogo mpka unashangaa,PSG ina ule utatu mtakatifu inakufa mbele ya kiteam kulichopewa na mhindi odds 15...Wanakuja kushangaa chelsea inayofundishwa na benitez kumdindia chelsea,wanadhani benitezi ni seleman matola..wanadhani labda moyes ni Ni cedric kaze,wao hawajui kuwa makocha hao wanatumia muda mwingi kuharibu mbinu za mpinzani

Team ingekuwa haichezi hapo sawa,ingekuwa haictreate chance sawa,ila wanasimangwa na washabiki pinzani na wao wanapaniki..kombe bado sana kusema tumelikosa
Katika mechi tano zilizopita Chelsea kadroo mara 2, kufungwa 1 na kushinda 2 tena kwa bahati. (Hizo stats sio za title contender kabisa, Liver na City wameshinda mechi zao zote 5 za mwisho), Hiyo stats na jinsi tunavyofungwa kirahisi na jinsi washambuliaji wetu hawana makali kule mbele, hakuna matumaini kwenye mechi zijazo hasa hizi za Desemba na January na hizo ndizo zinatuamulia mstakabali wetu kwenyte title race. Ukiwa mshabiki utaendelea kuamini tumaini feki ambalo halipo, ila ukiweka ushab iki pembeni na kuchambua soka, hakuna tunakokwenda kwenye title race. Majibu kamili mwisho wa mwaka huu
 
Mechi saba zilizopita
  1. City kashinda zote na performance yao superb
  2. Liverpool kashinda 6 na performance yao superb
  3. Chelsea kashinda 2 tu with poor performance
  4. Arsenal kashinda 5 na performance yao superb
Hapo picha kubwa inaonyesha tuendako ni wapi?
 
Mechi saba zilizopita
  1. City kashinda zote na performance yao superb
  2. Liverpool kashinda 6 na performance yao superb
  3. Chelsea kashinda 2 tu with poor performance
  4. Arsenal kashinda 5 na performance yao superb
Hapo picha kubwa inaonyesha tuendako ni wapi?
Mimi nilitoa hoja huko juu wakaniambia eti tusubil wapinzani wetu city na Liverpool nao watadondosha points
 
Chelsea ya sasa inacheza kama ile ya lampard side ways na back pasi nyingii, mabek ndio wanapga pasi nyingi kuliko viungo. Halaf mtu anatetea tumecheza vizur.
 
Chelsea ya sasa inacheza kama ile ya lampard side ways na back pasi nyingii, mabek ndio wanapga pasi nyingi kuliko viungo. Halaf mtu anatetea tumecheza vizur.
Chelsea ya Lampard ilikuwa worse....

Chelsea ya sasa inamiss chances zinazopatikana....

Hivi katika zile big chance 6 tulizopata kwa everton zingekuwa converted hata 3 tu unadhani tungekuwa tumekaa humu saiv tunadiscuss chochote?
 
Chelsea ya sasa inacheza kama ile ya lampard side ways na back pasi nyingii, mabek ndio wanapga pasi nyingi kuliko viungo. Halaf mtu anatetea tumecheza vizur.
Shida ya sasa ni umaliziaji, tunaweza kuwa tunacheza hivyo ila tunacreate nafasi nyingi za kufunga na hatuzitumii, wanakosa ukatili ni tofauti na wachezaji wa city or liverpool,
Katika chance 6 tunashindwa kutumia hata 3, ni aibu,
Yani mtu one vs one anakosa then tulalamike kuwa tunacheza side way pass na back pass


Na mara nyingi nikiona tu game tunakosa chance nyingi za wazi najua tu hii game tunadraw,
 
Nimeweka pesa yangu kwa ajili ya xmas sasa sio mnaenda kulegeza matacle mgongwe tena,yaani pesa yangu ikiliwa humu hakutakalika,nimewapa normal tu
 
Ombi la chelsea kwa pl kuahirisha mchezo wa leo dhid ya wolves limekataliwa
Hii ni baada ya kupata mchezaj mwingine mwenye covid
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom