Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Shida ni ile ile hatuko makini kwenye umaliziaji wa chance zetu, tunakosa chance nyingi na za wazi matokeo yake gme inaisha draw
Mtashindaa msijari,subiri Kante aingie na Ross maana Jorginho na cheek wote Wana yellow card Lazima MMOJA au wote watatoka Kuepusha red card
 
Timu inaunga unga kama nini aiseee kweli inawategemea akina Saul hovyo kbsa yaaan Timu bila akina Ben chilly ngola kovac hakuna timu ni taka taka tu kma taka taka nyingine hLafu kile ki babu cha Spain kiuzwe chaloba beki inatulia
 
Hatimae tumedondosha point 2 kwakweli safari ya ubingwa itakuwa ngumu sanaaa

Timu inacheza pasi nyiingi kama asenane ila haishambulii

Back pass zimezidi mabeki ndio wanacheza sana mpira. Why!?

Pass zikiwa nyingi na hamshambuli mfululizo ni ujinga tu

Namwonaea Huruma TT kama ndio anawafundisha hivi basi jamaa hawatamvumilia

Why timu ibadili uchezaji within a month tu

Inakera sana

Lazima tuseme ukweli

Kwa mtu anayetazama.mechi za hivi karibuni atanotise hii timu haiko sawa

Usiniamie majeruhi yametuathiri wakati falasaf ya uchezeaji ni ya kocha
 
Mkuu achana na hii timunitakupa pressure buree

Njoo Liverpool ule piza utakavyo

Mwenzio OllaChuga Oc ashahamia viwanja vya anfield umebak wewe tu
 
Katika game ambazo huwa tunapoteza nafasi nyingi ndio ambazo huwa zinaisha kwa draw, tunatengeneza nafasi nyingi za kufunga bt hatuzitumii.

Kuna haka kaugonjwa sasa hiv tumekuwa nako tukipata goal 1 tu tunakuwa tumeridhika tunawapa uhuru wapinzan warudi mchezoni, tunashindwa kumaliza game mapema

Mwezi huu utakuwa mrefu sana kwetu, katika game za kushinda ndio tunadondosha point, utasema chilwell ndio funguo ya tim, tangy aumie tim yetu imekuwa sio yenyewe kabisa
 
Timu inaunga unga kama nini aiseee kweli inawategemea akina Saul hovyo kbsa yaaan Timu bila akina Ben chilly ngola kovac hakuna timu ni taka taka tu kma taka taka nyingine hLafu kile ki babu cha Spain kiuzwe chaloba beki inatulia
Bench la leo uliliona mzee... na weekend tuna match...

Bado wachezaji wanaoumwa corona hawajaongezeka.
 
Hatimae tumedondosha point 2 kwakweli safari ya ubingwa itakuwa ngumu sanaaa

Timu inacheza pasi nyiingi kama asenane ila haishambulii

Back pass zimezidi mabeki ndio wanacheza sana mpira. Why!?

Pass zikiwa nyingi na hamshambuli mfululizo ni ujinga tu

Namwonaea Huruma TT kama ndio anawafundisha hivi basi jamaa hawatamvumilia

Why timu ibadili uchezaji within a month tu

Inakera sana

Lazima tuseme ukweli

Kwa mtu anayetazama.mechi za hivi karibuni atanotise hii timu haiko sawa

Usiniamie majeruhi yametuathiri wakati falasaf ya uchezeaji ni ya kocha
Boss we ni timu ipi unaizungumzia...

Hivi hizi statistics ni za timu inayopiga back passes?

Nmeangalia mpira. Atakayeniambia habari za kuwaste chances nitamuelewa.

Screenshot_2021-12-17-03-23-54-183_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 
Bench la leo uliliona mzee... na weekend tuna match...

Bado wachezaji wanaoumwa corona hawajaongezeka.
Si Mna kikosi kipana jamani,Shida ni Nini? Au mpaka kikosi ambacho kilikuwa na kismart Cha kuchukua uefa kiwepoo ndo Muna maajabu?

Kina Saul mlichukua wa Nini? Kina Ross muliwarudisha wa Nini Wakati Aston villa walikuwa wanakiwasha,
Vipi kina Lukaku Epl iliyo washinda,mliwarudisha wa niniii!!!
 
Katika game ambazo huwa tunapoteza nafasi nyingi ndio ambazo huwa zinaisha kwa draw, tunatengeneza nafasi nyingi za kufunga bt hatuzitumii.

Kuna haka kaugonjwa sasa hiv tumekuwa nako tukipata goal 1 tu tunakuwa tumeridhika tunawapa uhuru wapinzan warudi mchezoni, tunashindwa kumaliza game mapema

Mwezi huu utakuwa mrefu sana kwetu, katika game za kushinda ndio tunadondosha point, utasema chilwell ndio funguo ya tim, tangy aumie tim yetu imekuwa sio yenyewe kabisa
Mwambieni kocha abadili tactics na system Kutokana na timu anayo kutana nayo,Siku zinakujaa.Kuna wahuni watakuja kumgonga mchana buree kabisa Yani bila hata clean sheet.

Timuu ganii hiyo inayo tegemea kikosi Cha Kwanzaa tuu Ili kipate ushindii????ikitokea mabadiliko timu inapwayaa???? Hiyo siyo timu ni gengee la Wanywa pombee.
 
Acha bange we timu yako kikosi cha pili kina maajabu gani?
 
Hatimae tumedondosha point 2 kwakweli safari ya ubingwa itakuwa ngumu sanaaa

Timu inacheza pasi nyiingi kama asenane ila haishambulii

Back pass zimezidi mabeki ndio wanacheza sana mpira. Why!?

Pass zikiwa nyingi na hamshambuli mfululizo ni ujinga tu

Namwonaea Huruma TT kama ndio anawafundisha hivi basi jamaa hawatamvumilia

Why timu ibadili uchezaji within a month tu

Inakera sana

Lazima tuseme ukweli

Kwa mtu anayetazama.mechi za hivi karibuni atanotise hii timu haiko sawa

Usiniamie majeruhi yametuathiri wakati falasaf ya uchezeaji ni ya kocha
Kwahiyi hata ukikuta chelsea kapiga pasi 900 kwa mechi usistuke cha msingi angalia ubao unasoma vipi si ndio?
 
Chelsea akikosa ubingwa sio kama hakupambana bali tu bahati haikuwa kwake.angalia mechi ya bunley alidraw lakin walikosa magoli mengi sana. Angalia eveeton ka draw ila angalia chances alizokosa mount na james .ingekuwa bado chelsea anaongoza ligi hadi sasa ila ndio mpira.akitokea mtu huko kibonde maji akianza kuiponda chelsea namshangaa sana atakuwa sio mtu wa mpira kabisa bali ni mtu wa somo la historia ya timu zilizochukua ubingwa mara nyingi akiwa yeye hajazaliwa.

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Si Mna kikosi kipana jamani,Shida ni Nini? Au mpaka kikosi ambacho kilikuwa na kismart Cha kuchukua uefa kiwepoo ndo Muna maajabu?

Kina Saul mlichukua wa Nini? Kina Ross muliwarudisha wa Nini Wakati Aston villa walikuwa wanakiwasha,
Vipi kina Lukaku Epl iliyo washinda,mliwarudisha wa niniii!!!
Wao watulie na kikosi chao mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom