Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelpenat mumekuja na mbinu ya kununua penalty sasa [emoji1787][emoji1787]
Mtaongea sana safari hii. Liverpool kashinda kwa penalty man City ameahinda kwa penalty. Nawewe omba penalty ushinde
 
hakuna cha kubebwa leo wakubwa hali ilikuwa tete, leo villa, wolve na leeds WALIKUWA WANA NIA OVU...mwisho wa siku mizania imebalance kila mtu kapata ushindi kwa matuta SI MCHEZO!
 
Mkuu mbona wewe Aston villa katuoa jasho. Ivi ninyi ya kwenu hamuoni?

Mbona mnaipenda Chelsea
Mlitusumbua mno kipindi mpo pale kileleni sikuiz ushindi umekuwa wamagumashi mpaka mpewe penalt ya bure.
 
hakuna cha kubebwa leo wakubwa hali ilikuwa tete, leo villa, wolve na leeds WALIKUWA WANA NIA OVU...mwisho wa siku mizania imebalance kila mtu kapata ushindi kwa matuta SI MCHEZO!
Bila ya kumsahau ndugu yao Norwich.
 
Wachezaji wetu wakipona Huu uzi mtahama bila kupenda

Mkuu nyinyi si mnasemaga mnakikosi kipana,Vipi sasa mpaka wachezaji wote warudi?

Mpaka warudi mtakuwa nafasi ya 5 huko tofauti ya points 21 na Liverpool.

Timu yenu ni ya kawaida sana,ni swala la muda tu ,mkiambiwaga hamsikii.

Mkuu timu yenu pumzi imekata kwa sasa hapo ndio Epl.

Sasa hivi kila mechi mnaruhusu goli za kutosha.
 
Kocha wako mwenyewe anajua Chelsea sio timu ya kawaida ndo maana anahangaika kuwabakiza kina mane n Salah [emoji23] mechi ya tarehe moja mwaka mpya wawepo ....sasa wewe upo mbinga huko unaleta husda zako Tu na kelele kibao
 
Muondoe Cheek hapo, tatizo lake la kung'ang'ania kukaa na mpira hadi ananyang' anywa linajulikana na ni minor tofauti na potential aliyonayo. kwenye attacking Cheek ni mzuri sana hata kwenye kukaba. nimespot scenes nyingi za kushambulia na kikaba anajua kiblock na kuwin second balls sio zaidi ya Kante na Kova lakini anakua kwenye hayo maeneo. Sasa hivi anaanza kwa sababu wenye hizo nafasi wako majeruhi. mimi naamini Cheek akimaliza msimu huu na TT akipata minutes za kutosha msimu ujao atatisha japo ushindani utakuwa mkubwa hasa wakirudi Garagher na Gilmour
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom