Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii weekend ilikuwa ngumu Sana mamaee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huku li timu limeshinda mashabiki wake wameshapungua uzito 3 kg ,yaani ni full kubana korodani mpaka mwisho wa mpira
 
[emoji117] HONGERENI THE BLUES KWA USHINDI

[emoji117] Ushindi muhimu kulingana na hali ya injuries kikosini

[emoji117] Hii mechi sijaingalia, nimeifuatilia Livescore.

[emoji117] Waliongalia mechi tunaomba uchambuzi.

#London is BLUE.
Mmebebwa
 
Sijajua kwann chelsea bado wana mng'ang'ania alonso... Kwanza alonso hata stamina ya miguu..
Kalegea miguu sana...

Chelsea kuna wachezaji kama alonso,barkley na loft cheek.. Inabid waonyeshwe njia ya kutoka..

Wanaigarimu timu.. Lakn hakuna improvement yoyote
Sure kabisa

Next season hawa tunawauza
 
Sijajua kwann chelsea bado wana mng'ang'ania alonso... Kwanza alonso hata stamina ya miguu..
Kalegea miguu sana...

Chelsea kuna wachezaji kama alonso,barkley na loft cheek.. Inabid waonyeshwe njia ya kutoka..

Wanaigarimu timu.. Lakn hakuna improvement yoyote
Muondoe Lotfus Cheeck kwenye hiyo list
 
Jamani kuna mtu anaangalia match ya chelsea...

Maana Sport Variety 2 sijui wanarusha madudu gani.
Usihngake

Matchday we tafuta bando

Download hio app hapo live football tv
Screenshot_20211211-201243.jpg
Screenshot_20211211-201332.jpg
 
Naona clean sheet imekuwa ngumu sana, wachezaji nahisi washachoka . TT inatakiwa awe na mbinu mbadala, hii ndo miezi mibaya huwa Chelsea inapotea.
 
Hii miezi December ,january , February Kama huna pumzi unaachwa kudadekiii....
 
Kwahiyo kama huwawezi ndio unataka kusema nn? Utolewe ama ujitoe kwenye ligi? Mbona mna andika utopolo hapa, hivyo hivyo itafahamika baada ya dakika 180.
Acha zako ww hv kama leeds kawatoa jasho mnategemea mumfunge bayern? Nyie subirini tu
 
Hii weekend ilikuwa ngumu Sana mamaee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Huku li timu limeshinda mashabiki wake wameshapungua uzito 3 kg ,yaani ni full kubana korodani mpaka mwisho wa mpira
dah!...wakubwa leo wameshinda kwa tabu kwelikweli kaanza city...wengine wamefuata ni mwendo wa matuta ila kina wolve, villa na leeds walikuwa na jambo lao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom