Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chief kuna mambo ya msingi ya kudeal nayo kwa sasa kwenye kikosi zaidi ya Lukaku.

Kuna ishu ya upatikanaji wa kiungo mkabaji & LWB hii hali tunayopitia sasa hivi pale katikati ya majeruhi (kante, Kovacic) sio pouwa kabisa, inatucost sana sana.

Saul amefeli, Alonso anazidi kuwa mzito na back passes milioni 1

Tunahitaji usajili wa kiungo mwingine wa kurithi viatu vya Kante, haswa Kante umri unapozidi kusonga mbele, na LWB mwingine pacha wa Chilwell, Alonso atupishe.

Pale mbele yupo Harvetz anacheza vizuri sana kuliko Lukaku. Mbona wakati Lukaku akiwa injury tumeshinda mechi ngapi? Tulimkumbuka?

Sioni kama kuna haja ya kumjadili sana Lukaku kuliko uhitaji wa DMF na LWB.
Count days..sijawahi kuamini ati Lukaku ni world class striker.
 
Havert ni mzuri kishambulia pale mbele.ila ananiuzi hana wasiwasi akiepewa mpira karelax sana kama mpira kautengeneza yeye

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Watu wanaangalia majina... moto wa Ajax na Bayern utupite mbali otherwise tusiwe na majeruhi ndio tunaweza kucompete...
Aisee hicho kikombe kiwapite mbali maana hao jamaa hawafai unapigwa in and out tena kama bayern hawanaga huruma kabisa hao jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha huyu wala yule. Ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa, binafsi naona yeyote tutakae pewa ni sawa tu. Ukiikataa Munich ama Ajax kwa sasa huenda ukakutana nao robo ama nusu fainali kwahiyo bado ni yaleyale, muhimu ni kujiandaa vya kutosha.

Ili uwe bigwa lazima uwashinde mabingwa. Kwahiyo hakuna cha kuombea tukutane na nani, mm nasema yeyote tu aje.
Siyo kwa tunavyosuasua mzee... unless tuwe full fit.
 
Hakuna cha huyu wala yule. Ndio maana ikaitwa ligi ya mabingwa, binafsi naona yeyote tutakae pewa ni sawa tu. Ukiikataa Munich ama Ajax kwa sasa huenda ukakutana nao robo ama nusu fainali kwahiyo bado ni yaleyale, muhimu ni kujiandaa vya kutosha.

Ili uwe bigwa lazima uwashinde mabingwa. Kwahiyo hakuna cha kuombea tukutane na nani, mm nasema yeyote tu aje.
Mkuu kwa sasa hao miamba huwawezi kutokana na majerui mlio nao.
 
Jamani kuna mtu anaangalia match ya chelsea...

Maana Sport Variety 2 sijui wanarusha madudu gani.
 
Huyu alonso wenu huyu ngoja tuone kma kocha hataobadilisha majukumu ya wachezaji hakuna maaajabu yyte namkumbuka Emerson kwa kweli
 
Match ndogo hiyo HATUONESHI
Punguza Shobo hauoneshi we kama nani?

Screenshot_2021-12-11-19-06-36-451_com.showmax.app.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom