Wagonga nyundo baada ya kuvunja daraja, naona kenge wanakimbiakimbia tu hovyo maskini, hata uelekeo wao hawajui ni wapi.Mudi yangu imeharibika vibaya kwa Liverpool kuchomoka kwenye dakika za majerihu loh!!!!! Ila mie nawakika epl tunaibabe tu kwasabb zifuayazo:
First 11 yetu majerihu wengi.
Tuna kikosi kipana hatumtegemee mchazaji moja
Sala na Mane wakirudi Africa Liverpool inakua aina meno tena.
Mancity inafungwa sio timu inaotisha kivile, kwenye epl.
TT ana binu nyingi za kubadili team na aina ya mchezo.
Kwahiyo wana Chelsea msihofu sana tuwe na roho ngumu kama arsenal na Man u, hatawakiwa kwenye nafasi ya uropa wanaendelea kushangilia tu.
Izo mbinu mbona dhidi ya west ham hazikutumikaaMudi yangu imeharibika vibaya kwa Liverpool kuchomoka kwenye dakika za majerihu loh!!!!! Ila mie nawakika epl tunaibabe tu kwasabb zifuayazo:
First 11 yetu majerihu wengi.
Tuna kikosi kipana hatumtegemee mchazaji moja
Sala na Mane wakirudi Africa Liverpool inakua aina meno tena.
Mancity inafungwa sio timu inaotisha kivile, kwenye epl.
TT ana binu nyingi za kubadili team na aina ya mchezo.
Kwahiyo wana Chelsea msihofu sana tuwe na roho ngumu kama arsenal na Man u, hatawakiwa kwenye nafasi ya uropa wanaendelea kushangilia tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lukaku game 10
Goal 0
Asist 0
Jasho ndoo kumi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwanza mambo ya mamipira ni haramu [emoji1786]
Chezea notes ww kocha wao sio mchezo aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787], walijipanga kufanya maangamizi kwa chelsea kabisaaaa.Westahm wakaamua kuingia na notes kabisa uwanjan na walikuwa wanasoma live bila kuogopa ..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu badilini mfumo aisee mkiona 3 4 2 1 imewashinda kuna mifumo mingi tu mbona? Ila sasa hiyo mifumo sijui mtaipataje maana sio kwa injury hizo.Mkuu mpira sasa hivi umebadilika sana, ndio maana unawaona kuna timu zinacheza bila striker mfano city.
Nowdays mastiker wamejeuka kuwa wapika mabao na kufunga pia, zile zama za striker kukaa pale mbele kusubiria aletewe mpira, uwalalie mabeki zimeshapitwa na wakati.
Lukaku ana style yake ya uchezaji anahitaji space, anahitaji mipira ya counter attach, anahitaji kushambulia kwa kasi.
Ukiangalia uchezaji wetu wa sasa pass fupi fupi na washambuliaji wanaingia Lundo golini mabeki, mawinga, viungo wote wanataka kufunga goli.
Nawewe ulijipitisha na kanga moko umekula 3 dah! Westham bhana [emoji1787][emoji1787]Unafikiri ssi ndio ww? Ulivyojipitisha na kanga imelowa maji moyes aka kupiga bao 3 uka lala mwepesiiii
Nyie sio liverkuku sio? Mmepata mnacho staili [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya mkeo chukua uvae
Nani alikuambia umbetie ?? Nimekuambia sie syo liverkuku
Mkuu Mendy yeye huwa anawaza kudaka hata nje ya 18 anadaka tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], sasa wanamrudishia mipira ya nini? [emoji23][emoji23][emoji23] All in all mjifunze kukubali matokeo hata kama mmepigwa hakuna tim itakayo chukua ubingwa bila kupelekewa moto wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Jorginho mchezaji mzuri sana ila kuna wakati anaboa na akiboa anaboa kweli kweli. Mechi na Manure nilidhani ni bahati mbaya, sasa inajirudia rudia. Ningekuwa karibu yake ningemtusi, hana adabu
Mendy naye kuna wakati anazingua, wewe mpira uko golini kwako halafu unatumia juhudi kuuproteck mpira ambao hata kuudaka haruhusiwi. Alikuwa na nafasi ya kutoa nje wa kurushwa akauproteck, akapata nafasi tena ya kuutoa kona akijifanya anauprotect tena hadi anasababisha penalti. Naomba iwe mwanzo na mwisho kwa hao wazembe wawili wa game ya leo
Kabisa hawa jamaa wanalaum tu wanacho takiwa nikukubali matako eo tu.Usiwe kigeugeu huyu keppa magoli ya ujinga kama hayo alipigwa mengi tu, medy hana kosa alicheza vizuri, kwanini alete kona wakati mpira alikua ameumudu, isipo kua yule striker ndo alikua mjanja kulazimisha fauli...........ila mjifunze kua na misimamo msiwe kama wale man na arsenal wanao fuata upepo wamatokeo.
Nawewe kakutatua marinda?Wewe huyu Westham ndio alikubikiri. Sijui kama unaweza kutembea vizuri kwa sasa.
Me sijaanza kufungwa leo...Nawewe kakutatua marinda?
Uzuri wetu sisi huwa tukipigwa hatuanzi lawama saana kama hawa bata wanavyo zitupa lawama kwa jojinýoooooo na mendy, ukizidiwa maarifa lazima upate muhaho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi tuliruhusu goli nyingi mkatuona wajinga[emoji16]
Naby keitaUgumu wa Chelsea wachezaji wake muhimu sana wameumia ilihali Man City na Liverpool hawana majeruhi ya wachezaji muhimu.
Mpunguze kelele sasa, yaani mnavihere here mno [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Poleni wana Chelsea fans wenzangu.
Asiyekubali kushindwa si mshindani. Nimekubali kiroho safi kushindwa siku ya leo. Vijana wamecheza kadri wawezavyo lakini point imeenda upande mwingine.
Lets focus for next match[emoji170] Chelsea foreva [emoji170][emoji170][emoji170]
Kwani kikosi kipana kimeenda wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]Dalili ya kupoteza mechi ilishaonekana tangu mechi na nyumbu, Watford tukacheza ovyo leo tumekula mikuki 3.
Ile 1st eleven yetu ikirudi ushindi mfululizo utarejea.