Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Garry Cahill - straight red card!!
90th min.
Kazi kwisha kwa Chelsea! Karibuni London
 
Game Over!!
Hii ndio inaonyosha kuwa Chelsea walibahatisha kuchukua UCL!!

Corinthians are the new champions?
 
Walisema Benitez keshamletea Tores dawa ya kufunga
 
Chicao_2874934.jpg
PaoloGuerrero_2874939.jpg
Paulinho_2874940.jpg
 
Poleni thaana ndugu thangu wa darajani.hawa watu wa america kuthini huwa hawafungiki na waingeretha kabthaa!mthije mkamtimua mthee wa watu bure!maana hamkawii nyie!
 
mtotowamjini Belo BelindaJacob Wacha 1 Viper mko wapi jamani. Au kisa tulishinda juzi. Au mnajifanya lile sio kombe??!


Uwi uwi uwi Wacha kutiumiza weye khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nachikia Leeds wameanza kuchimba kaburi khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee .... ... .... ..

BTW on a serious note whos the next manager?

 
Hahahaha...torres makali yake yameshaisha!! Leo kakosa chances kibao.

Naona machabiki wa timu ya Mashoga wamejaa kibao oops hebu baelezeni hamuhitaji mashoga hapa .. ... ... ... .... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee wao wanategemea kubebwa na nyie Chelsick mlichelewa kutoa ngawira nini? Au Abraham o Vich ameanza kuwa na mkono wa birika?

avatar64637_4.gif

Mbeleko karibu itakatika ... ... .... ...
khe khe khe kheeeeeeeeeeeee

 
Naona machabiki wa timu ya Mashoga wamejaa kibao oops hebu baelezeni hamuhitaji mashoga hapa .. ... ... ... .... .. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee wao wanategemea kubebwa na nyie Chelsick mlichelewa kutoa ngawira nini? Au Abraham o Vich ameanza kuwa na mkono wa birika?

avatar64637_4.gif

Mbeleko karibu itakatika ... ... .... ...
khe khe khe kheeeeeeeeeeeee


Wacha1 wacha matata wewe kilaza...I'll sue you for misusing my profile pic..clown!!!
 
Last edited by a moderator:
Hongereni kwa X-mass present mliyozawadiwa kule Japan, nakuhakikishieni hii zawadi hapa chini haipo Invisible, kama huioni jaribu kuangalia kwenye tovuti maalum na kuwauliza maskini Peas of ants ambao wameshamiri katika sala ikiongozwa na padri bandia ati Rev. Kishoka ooops Masanilo ... akisaidiwa na mpiga picha maalum kutoka kwa Manyang'au .. ...Mungiki Brother himself, tinachubiri chacha maziko kule Leeds nachikia wameshamaliza kuchimba kaburi ...... ... ... . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Msikonde Merry X-mass ... ... ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom