Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

0,,10268%7E11511132,00.jpg

Ikawa 1,2,3,4,5,6,7, haikutosha hadi 8!
 
washabiki wengi Chelsea mamluki,walikuwa wanamkataa Benitez kisa katoka Liverpool sasa wanaanza hao,siku zote waspain mtawachukia mwisho mtawapenda wenyewe.
 
washabiki wengi Chelsea mamluki,walikuwa wanamkataa Benitez kisa katoka Liverpool sasa wanaanza hao,siku zote waspain mtawachukia mwisho mtawapenda wenyewe.

We ndo hujui lolote...karesearch tena kwann chelsea fans hate benitez.
 
Apo ni kumuonesha fellaini y chelsea is the team to be in.


Wacha tamaa ya fisi mtanunua wachezaji wangapi wakati wanaotakiwa ni 11 uwanjani? Au ndio fujo tu na kudhoofisha upinzani? Wenzenu Manure leo wanaomboleza kipigo cha wee team ambayo iliwatoa kamasi ... .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee


BTW Hongereni kwa ushindi wa leo shukuruni Fellaini hakuwepo .... ... ... Vipi Invisible Peasant na Mungiki brother ndio bado wapo ICU kwa kukosa kombe kule Japan au kunyofolewa kwenye CL?
 
Karibu aya anza kuchonga. Yani wambea leo mmenunajeee? Sikuwa najua ecerton nayo ina mashabiki mpaka kale kambahatisho ka dk2 hahahaha...
We are BLUE men...IamBLUE.
#teamCHELSEA


Ooops masahau kidogo chacha Benitez mmemkubali ingawa aliwaita plastic fans .... .... ... ... ... Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom