Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kumbe wanapenda kuja kuangalia mechi za timu kubwa tu, hizi timu wanazonunua ushindi hazina mvuto khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wacha fitna ww....chelsea chama kubwa. Nahisi unatupenda sana sema we r way out of ur league.
 
Hongereni kwa X-mass present mliyozawadiwa kule Japan, nakuhakikishieni hii zawadi hapa chini haipo Invisible, kama huioni jaribu kuangalia kwenye tovuti maalum na kuwauliza maskini Peas of ants ambao wameshamiri katika sala ikiongozwa na padri bandia ati Rev. Kishoka ooops Masanilo ... akisaidiwa na mpiga picha maalum kutoka kwa Manyang'au .. ...Mungiki Brother himself, tinachubiri chacha maziko kule Leeds nachikia wameshamaliza kuchimba kaburi ...... ... ... . khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Msikonde Merry X-mass ... ... ....

Sio Bradford! Another trophyless at the Emirates Cemetery.

Merry Xmas
 
Wacha fitna ww....chelsea chama kubwa. Nahisi unatupenda sana sema we r way out of ur league.

Chukueni basi kombe la mbuzi ... ... jitahidini huenda Romano akaongeza dau kununua mechi zilizosalia ili mkaribie kuwa na vikombe kama Gunners ..... ..... .... . khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
.. ... vipi naona mmeanza kumkumbatia Beni aliyewapa jina la
plastic fans khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kweli mpunga mwanaharamu .... . hata d*l* mnawekwa mnakubali tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee
 
Na Jumapili tukicheza na Aston Villa uje pia utushangilie..sawa!??
 
Wacha1 where art thou man??!

I am BLUE. #teamCHELSEA

Uwi uwi uwi khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeee leo lazima Mungiki brother atie timu hapa khe khe kjhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee ataleta picha chacha hivi, hongereni kwa ushindi mnono si niliwaambia Abraham atamwaga mpunga kwa mechi zilizobakia maana mko dhoofu ni balaaa, hongera pia zimwendee Invisible, peas of ant's bila kumsahau Rev Kishoka ... .... ... merry x-mass tuonane mwaka mpya ... .... .... ..... tuone kama bado mpunga unaotolewa utaendelea kudumu .... .... ... .... .... ... poleni hata hivyo mmeambulia point 3.

Tetesi wachezaji wa Villa kila moja kakomba £1 million kwa mwaka mpya .... .... .. damn it!
 
Una wivu kama mke mdogo, just appreciate. It won't hurt....:A S 11:
 
Mke mdogo yukoje? Just curious? Pengine ''New Era at the Emirates'' ingekuwepo Wacha aje huyu P*mb* kutoka Kibera aweke pics .... ... ..

0,,10268%7E11511144,00.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom