Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haya sisi ndio Champions its all written in the skies,we adding the world one
 
Naona Torres sasa anakuja kwa kasi kweli 4 goals in 2 matches
 
Jamani sasa hapo japan tutatoka kweli kama ndo hivi kuwa terry has been ruled out leo tena romeu sasa hapo katikati patakuwaje km na obby akizinguq kwa majerui sio naombea natake precaution perzecueta ataweza na lambard!!? Hapo akae nani mnadhania!
 
Unafiki wa mashabiki wa Chelsick ... ... .... kama penda pesa ya Romano hata akiamua kuwainamisha inameni tu ... ... .. .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee niliwaambia akifa na timu inakufa chacha mnalialia nini? You can't buy class .... .... phew!

The darling son
Tor the Res bado kuona goli tangu October khe khe khe kheeeeeeeeeeeee

ChelSHIT
 
Jamani ehee Msaada Kwenye tuta! Imekuaje chelsea kutolewa Kwenye makundi wakti Ina wastan mzuri wa mabao ya kufunga/kufungwa kuliko ya waturuki shakhtar?
shakhtar ya Ukraine ilimchapa chelsea 2-1 kule donetsk Ukraine,Chelsea akashinda 3-2 kule London,kama mtoano chelsea anatoka kwa away goal,ni waukraine hawa sio waturuki,kina aghahowa,wagner love na eduardo aliekuwa aseno wote wamepita shakhtar donetsk mabingwa wa europa cup 2009 kombe analoenda kucheza chelsea na kina liverpool,spurs kila alhamisi
 
Hivi jaman mech ya kesho ya klabu bingwa ya chelsea itaonyeshwa channel gani coz nimeangali website ya supersport na inavyoonyesha hawataonyesha hiyo game!!!!!
 
Hivi jaman mech ya kesho ya klabu bingwa ya chelsea itaonyeshwa channel gani coz nimeangali website ya supersport na inavyoonyesha hawataonyesha hiyo game!!!!!

Hivi Malouda bado yupo Chelsea?
 
Last edited by a moderator:
Aliambiwa atafanya mazoezi na kikosi cha vijana

Ina maana na kocha wa sasa nae ame-approve aendelee kufanya mazoezi na kikosi cha vijana?

Nilidhani yalikuwa maagizo ya kocha aliyepita?
 
Naona Torres sasa anakuja kwa kasi kweli 4 goals in 2 matches

tores ni mchezaji mzuri bt physic inamcost sana ukizingatia ndo mchezaji mrefu ambaye anatakiwa apokee ata pas za juu na kusuply kwa wengne wakati akijipostion lakn kufunga kutamfanya atoke kwenye psychological arrest iliyomtesa kwa mda na kushindwa kudeliver.
 
Naona Corinthians tayari wameshawaliza Chelshit kimoja!!

Life is too tough kwa chelshit!!
 
Torres vp??? Clear chance kama hii ameshindwa kufunga??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom